Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,873
- 172,595
Wazoee tu, madebe matupu haya hayaishi kupiga kelele....Wanaume humu MMU mmezidi kulalamika mnoooo!!! Kila siku wanawake wanawake kha!!!
Wazoee tu, madebe matupu haya hayaishi kupiga kelele....Wanaume humu MMU mmezidi kulalamika mnoooo!!! Kila siku wanawake wanawake kha!!!
Wanaume humu MMU mmezidi kulalamika mnoooo!!! Kila siku wanawake wanawake kha!!!
Wazoee tu, madebe matupu haya hayaishi kupiga kelele....
Yaani!, ni watoto 110%
Duh!! Wamezidi hiyo asilimia
Meseji senti kwa "kwa maharage ya mbeya"
Wanaume humu MMU mmezidi kulalamika mnoooo!!! Kila siku wanawake wanawake kha!!!
mwenzangu hatuna raha...!!!
Atajuta kunitania hapa ni usumbufu kwa kwenda mbeleNdo nayoyasema haya maana inawezekana alikuwa anatania.
ni wavulana tu wasio na madhara yoyoteWanaume humu MMU mmezidi kulalamika mnoooo!!! Kila siku wanawake wanawake kha!!!
Kikawaida ukifanya utani ndo unaeleweka... hebu kuwa siriaz uone utakavyosumbuliwa
List niliyo nayo ni ndefu ngoja zamu yako itawadia ....halafu mimi nitakuja huko huko
NB:Marufuku kuniganda ingawa utachanganyikiwa
Ndo nayoyasema haya maana inawezekana alikuwa anatania.
Kama nyuki wa mashineni tu, kazi yao kuchezea unga hata hawaumi....ni wavulana tu wasio na madhara yoyote