Wanawake wa kuoa

Wanawake wa kuoa

Oa wangazija (Wakomoro) kama kabila sio dili...mpaka chupi utaazima....hili kabila kwa huku kwetu znz ni tishio...wanapenda kuishi maisha ya ufakhari kupita kiasi...hata kama ni maskini hawawezi kukubaliana na hali...kwa kweli kuna makabila yana tabia mbaya...ambapo tabia mbaya za wazee ndio hutumika katika malezi ya watoto...kwa hio kuna uhusiano baina tabia na malezi....Kibaya Zaidi wanawake wengi wa kingazija wana mashetani wa vibuki...na hua na ngoma zao za Vibuki...ambapo kwenye hizi ngoma lazima zipatikane pombe za gharama kubwa(siju mashampeni na kadhalika) kila ngoma moja ya kibuki hutumika karibu milioni 2. Na kila mwaka lazima mwanamke umfanyie hii ngoma ya kibuki...."Kaka Funika Kombe mwanaharamu apite"
 
Wana-JF, naomba mwenye hekima aseme ni kabila lipi hapa Tz mabinti wake wana sifa nzuri za kuwa wanawake wa ndoa (wake)....? achilia mbali tabia za mtu mmoja mmoja kiujumla yaan...?
vip kabila lako? nahis unawaswas pia na kabila lako kwa maana hiyo hata wewe hufai kuoa maana ikiwa kabila lako halifai
 
Wana-JF, naomba mwenye hekima aseme ni kabila lipi hapa Tz mabinti wake wana sifa nzuri za kuwa wanawake wa ndoa (wake)....? achilia mbali tabia za mtu mmoja mmoja kiujumla yaan...?

We mwenyewe uko tayari kuoa?coz kuna aina tatu za wanaime
-wanaume ambao wamezaliwa na kujikuta wao ni wanaume tu coz wana maumbile ya kiume but hawajitambui!
-wanaume ambao wamezaliwa na wanajitambua kuwa ni vidume but still ni watoto wa mama, means wanashikiwa akili zao na mama,Dada hata kuoa wanachaguliwa wa kuoa!
-wanaume ambao wanajitambua na wanajua majukumu yao kama mwanaume,na full kujisimamia na kuongoza familia na kujiamini.
Jiulize uko group gani before hujaamua kitu, coz mwanaume unaejiamini usingepost wazo kama hili.
 
wanawake wa kuoa wapo wachache sana ila wasichana wa kuoa wapo wengi sana na kila leo wanafuzu na kua tayari kwa ndoa,wanatoka kabila la Watanzania.

Wanawake wengi, wake wachache (women vs wives)!
 
Wanawake wa kuoa ni WAHAYA,
wanafaa sana kuliko makabila yote Tz.
 
We mwenyewe uko tayari kuoa?coz kuna aina tatu za wanaime
-wanaume ambao wamezaliwa na kujikuta wao ni wanaume tu coz wana maumbile ya kiume but hawajitambui!
-wanaume ambao wamezaliwa na wanajitambua kuwa ni vidume but still ni watoto wa mama, means wanashikiwa akili zao na mama,Dada hata kuoa wanachaguliwa wa kuoa!
-wanaume ambao wanajitambua na wanajua majukumu yao kama mwanaume,na full kujisimamia na kuongoza familia na kujiamini.
Jiulize uko group gani before hujaamua kitu, coz mwanaume unaejiamini usingepost wazo kama hili.

Big up mkuu, nimekupenda bure

:thumbup:
 
Njoo umasaini,,kwenye visura wa ukwel wasiohtaj gharama za kusuka nywele...ni vpara kwa kwenda mbele, and they stl lukn nice!.

Wewe ndiye umenena. Yan mimi namsaka demu wa kimasai kwa udi na uvumba, ila asiwe wa hapa dar maana mmh! Uko pande zao nimpate hata mmoja tu?
 
Makabila yote yanafaa kuoa,ila unapaswa kumchunguza huyoo mwenzi wako coz kitabia watu wanatofautiana!
 
We mwenyewe uko tayari kuoa?coz kuna aina tatu za wanaime
-wanaume ambao wamezaliwa na kujikuta wao ni wanaume tu coz wana maumbile ya kiume but hawajitambui!
-wanaume ambao wamezaliwa na wanajitambua kuwa ni vidume but still ni watoto wa mama, means wanashikiwa akili zao na mama,Dada hata kuoa wanachaguliwa wa kuoa!
-wanaume ambao wanajitambua na wanajua majukumu yao kama mwanaume,na full kujisimamia na kuongoza familia na kujiamini.
Jiulize uko group gani before hujaamua kitu, coz mwanaume unaejiamini usingepost wazo kama hili.

yaani nimekupenda bureee nlivokutana na post yako nimesitisha kupost maana inajitosheleza
 
mwanamke mzuri anatoka kwa wasukuma na wahehe.sasa we jichanganye uwende uchagani!huko thamani ya mtu iko ktk mali.sina hamu nao

hamna kabila bora la kuoa,ila kwa neema ya Mungu watu wana pata wenza,juzi tumesimamia mtua amapa mkewe talaka mahakama ya mwanzo sinza,Jamaa kafulia mke kamkimbia huyo mke ni Muhehe.....sa hivi anakaa kimara na hawara....bure kabisa
 
Njoo Kyela uoe mnyakyusa wa kwetu Talatala-Ipinda!
Mabinti zetu ni watulivu;wana heshima;hawana makuu;hawapendi pesa bali wanapenda mapenzi na ni wachapa kazi!
Ila uwe na nguvu maana madada zetu wanapenda sana kugegedana!
 
We mwenyewe uko tayari kuoa?coz kuna aina tatu za wanaime
-wanaume ambao wamezaliwa na kujikuta wao ni wanaume tu coz wana maumbile ya kiume but hawajitambui!
-wanaume ambao wamezaliwa na wanajitambua kuwa ni vidume but still ni watoto wa mama, means wanashikiwa akili zao na mama,Dada hata kuoa wanachaguliwa wa kuoa!
-wanaume ambao wanajitambua na wanajua majukumu yao kama mwanaume,na full kujisimamia na kuongoza familia na kujiamini.
Jiulize uko group gani before hujaamua kitu, coz mwanaume unaejiamini usingepost wazo kama hili.

hili sio jibu la mtu mwenye hekima,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom