Phlagiey
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,499
- 1,687
Kshaka kilosu jamani..
Ife mshaka we kwi?
Kshaka kilosu jamani..
Hawafai hawa ni wachepukaji sana
Na wa kwako pia alitoka huko???
Ife mshaka we kwi?
Hahhaha.....Aaahh wapi
toto lo uru ilo!
paja paja mama! utadhani kasingiziwa! kumbe wala, ndo yeye! hips dont lie! ... ukicheka ntacheka! ukisimama nacmama!
Ndeye nakja..mmbie
Ife mshaka we kwi?
hahahaaa!! naona tian kawa mpooole mbele ya mchungaji!
chezea mla nyama wewe!!
(mkuu sorry, nashindwa kupata notifications kwa muda muafaka!... imagine kuanzia saa tatu, hio mention sasa saa 5!)
Wangu alitokeaa RICHMOND