ICHANA
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 4,765
- 3,596
Wachaga wa Rombo. No.1
Ndeye nakja..mmbie
Wachaga wa Rombo. No.1
Wana-JF, naomba mwenye hekima aseme ni kabila lipi hapa Tz mabinti wake wana sifa nzuri za kuwa wanawake wa ndoa (wake)....? achilia mbali tabia za mtu mmoja mmoja kiujumla yaan...?
Ndeye nakja..mmbie
Tuondolee lawama humu, hebu changamsha balls zako huko...Unakuwa kama mbwa unataka kusakiziwa.
Kabila la mtu sio lebo kama zilivyo nguo na viatu kutambulisha ubora wa mke mwema,basi kila mtu angekuwa anatembea amejibandika kwenye paji la uso.
Huku kujifanya unatafuta kabila la kuo ni kutapatapa na kujsribu mbinu ambayo wenzako waliitumia mwaka -47.
Sipendi ukabilaaaaa!
Weenda kurunda ki?
Hahhaha......
Wishi kishka khe undi..Heleee
Mke mwema anatoka kwa bwana. Sio katika kabila maalum ama kabila fulani.
Shuuuu hata veee
na mume mwema anatoka kwa nani?
na mume mwema anatoka kwa nani?
Ngaenda shia ya msalaba
Bank (BOT)