Left back-gunner
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 572
- 234
Oa wangazija (Wakomoro) kama kabila sio dili...mpaka chupi utaazima....hili kabila kwa huku kwetu znz ni tishio...wanapenda kuishi maisha ya ufakhari kupita kiasi...hata kama ni maskini hawawezi kukubaliana na hali...kwa kweli kuna makabila yana tabia mbaya...ambapo tabia mbaya za wazee ndio hutumika katika malezi ya watoto...kwa hio kuna uhusiano baina tabia na malezi....Kibaya Zaidi wanawake wengi wa kingazija wana mashetani wa vibuki...na hua na ngoma zao za Vibuki...ambapo kwenye hizi ngoma lazima zipatikane pombe za gharama kubwa(siju mashampeni na kadhalika) kila ngoma moja ya kibuki hutumika karibu milioni 2. Na kila mwaka lazima mwanamke umfanyie hii ngoma ya kibuki...."Kaka Funika Kombe mwanaharamu apite"