mnasema kweli wanawake wa kinyamwezi wanapenda kuchepuka au ndio kutishana bana kwa maana mm apa na mtu wa kinyamwezi ananisumbua kichwa kweli
kw Hilo mnalo sema Lina ukweli au
Huku Tabora aisee Acha kabisa, wanawake wa kinyamwezi wamejazia Sana,sijui kwanini! Nimekaa mikoa mingi,Ila huku Tabora ni balaa,alafu ni 98% unakuta wamejazia balaa. Pia ni warefu Sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.