hahahahhahaha, wala usijichoshe kunichukia mtu kama mie, mana sina time kabisaa na watu kama wewe, nawapotezeaga sanaa, halafu unachukia upepo?:A S-confused1: mana nyamayao kwako ni kama upepo tu, mie nakupendaje :busu
duuu nikajua hii tabia wameshaishaa maana nilikuwa nasikia tuu kwa jiran duu ni hatari saaana hawaa wenzetuuu mm nachukulia wachaga wotee n hatar hiii inasikitisha saana poleeen saana wafiwaa kwa msiba uliowapata duuuu wachgaa angalie msijee mkakosa waaumee wa kuwaoa maana kwa hali hii naogopa hata kuoa mchaga nina mpenz wangu mchaga naogapa hata kumpa haiii kwa halii hii ngoja nisipee
Chaaa lekana na itondo maa inyi ngaalika Morang'u chaa wamorang'u wai weecha kyo kitewe.
Tuliza mshono wewe--wewe ni nani hapa jf unayetaka hii mada ifungwe?
kimanga kyako mmberurhe.., ngauka nachyo kuleshi , nghakarisana ohhh n simba zenyo mringa .
Wa marangu majina yao ya ukoo ni yapi ili tuwatambue.
muache kututongoza mkuu... mtukome
Hakika wewe ndio umekuwa mchaga muwazi, haya ndio mafundisho mnayopeana Christmas. Asante kwa kuwakumbusha wachaga wenzako.
Andika mazuri yao angalau kwa jambo moja tu
Hahaa..wachaga ndo habar ya town..tutake radhi bhana sie si wauaji..ni wajanja tyuu.na ukitaka maendeleo oa mchaga..
Haha..eti "ingia mswahili uone",utafkiri wachaga ni wazunguusipoelewa usiulize!!!
mchaga wa aina yoyote na mchaga mwenzie apo poa au mchaga na mpare ila ingia mswahili uone!!!!
pole zako, wewe mmoja ukituchukia haina madhara kabisa.