1.wapole
2.wanapenda kugechwa(kudundwa)
3.wana akili sana
4.wavumilivu
5.awajui kupika....
ehh jaman m kidng bwana auwez kudicrib mtu kwa kabila lake..waweza kuta mkurya lakn asiwe na sifa ata moja apo juu
kila bnadamu ana swaga zake.
nawasilisha..its me nyambura.
Lazima umchape vibao angalau viwili kwa siku ili ajue unampenda
Gaga umenichekesha sana yaan u have made my dayLazima umchape vibao angalau viwili kwa siku ili ajue unampenda
mi namjua mmoja hajatahiriwa, itakuwa wameacha
We jipe moyo tu, chukua tochi usije lalamika hapa oooh sikuangalia vizurimi namjua mmoja hajatahiriwa, itakuwa wameacha
Ndugu yangu, nani alikwambia kutahiriwa au kukeketwa bi tatizo? Unatengenezewa njia iwe haina vikwazo wewe unaona ni tatizo!!!Mimi si mkurya, ila nimeishi nao sana. Ni warembo sana. Si watu wa majungu, wana upendo. Labda wanaotoka kijijini ni tofauti, ila wa hapa Dar most of those that I know are real attractive. Tatizo lao kubwa ni kuwa wanatahiriwa. It is so fun kwani hata wa mjini (marafiki zangu) walikuwa wanatahiriwa then wanafanyiwa bonge la sherehe majirani woote tunaalikwa na siyo siri wala nini tena hapa hapa dar!. Hiyo ilikuwa miaka ya 90 sijuhi kama wamehacha au wameamua kujificha. Ila ili suala la kutahiri si wao peke yao nasikia na wachaga na watu wa dodoma, singida pia wanatahiri mabinti. Sasa sijuhi baada ya kutahiriwa performance zao in bed zinakuwaje maana I doubt kama wanaenjoy.
Nakumic sana siku hizi unaingia humu kwa kupib sana mpendwaAcha ukabilia wewe mwangalie mtu mwenyewe sio kabila lake
Tafadhalini nimwagieni sifa za wanawake wa kikurya kwa wale mnaofahamu.
muraaaaaaaaaaaaaaa
Nasikia wanaweza kujua unacheat asipopata vibaohii haipo mama mana hapo mkigeuza mtasema wanaume wakurya wanapenda kupiga wakati siku hizi njemba zote tu ukienda kichwakichwa inakupa za chembe...