Wanawake wa kikurya ni nomaa

Mmmh sio kweli mkuu, wanawake wa kikurya sio wakorofi kabisa, labda wanaume wao lakini wanawake wa kikurya ni wapole sana na wanyenyekevu , hizo sifa ulizoelezea hapo ni za wanyiramba.
 
Sio wote
 
Amani ni msingi mzuri wa maendeleo kwny familia bila amani hakuna upendo bali chuki itaibuka
Wewe hauwajui wakurya na unaongelea events chache au za eneo ulilokaa nao, wakiwa hawapo katika zone yao. Kwa kifupi umeshibishwa propaganda za chuki.

Mkurya atembee na mjomba wake, hizo ni rare cases na adhabu ni kubwa. Aisee hizo labda unaongelea cases za generation hizi za wazaliwa wa 2005 mjini ambazo unaweza kuta hata rafiki yako alishamgonga mamaako . Ukienda anajifanya mwanangu mwananguu anam hug kumbe anamshika mb**

Umalaya wa dada zetu ni wa kiwango cha kawaida labda kama mtu kapinda kimaadili, au kashavurugwa na life.

Halafu sisi huwa hatuchongi chongi sana, but when we do ish, we do it heavy. Propaganda tupu zimetumika. Zile docs zinauliza kabila gani, mtu anasema mjita, msimbiti,muikizu mnamlazimisha kuwa ni mkurya ni trash na kutoheshimu ID za watu.

Mkoa una makabila zaidi 12. Mapungufu ya kabila lako yasikulazimishe ku force mapungufu madogo ya wengine teh teh. Bora useme dada zetu hawajasoma kama wa kwenu, wamekeketwa n.k. Mambo amabyo yanafanyiwa marekebisho tartiibuu.

Dada angu Rahma Mwita alikuwa anagombea ubunge Kinondoni kwa tiketi ya ACT unamuonaje? Anaweza kukupiga ngumi yule, basi utakuwa choko akikupiga
 
Drat
hawa watu sijui wanaongelea wakurya wapi!
-kwamba mwanamke wa kikurya ni mchawi? halafu wanawake wa kijita, wazanaki? wasimbete na waikizu wafanye nini?

mm nimezaliwa ukuryani na nimekulia ukuryani, niliyoyaona ni angalau mawili au matatu...wanawake wengi wa kikurya hasa upande wa wilaya ya serengeti hawajasoma sana pamoja na ukeketaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…