hahaha,,nimekumbuka ile issue nikacheka sana,mcng u!
Yaani we acha tu mtu wangu hawa watu ni matatizo matupu na kama ukijidai mtanzania kweli mzalendo na mpenda amani ya kitanzania ukaenda kumtafuta mtu wa karibu yake yaani mkenya mwenzake kwamba atumie busara kidogo ajaribu kuongea na ndugu yake aache wenge na atulie utashangaa wanaungana na kuwa kitu kimoja yaani unajikuta kesi ya nyani umempa ngedere then anakuwa adui yako kabisa na anampa mbinu nyingine kali zaidi ya kukukera.
KIFUPI HAWA WATU HAPANA SIYO KABISA CPENDI UBAGUZI LAKINI HAWA HAWABEBEKI HATA NA MBELEKO YA CHUMA
I have met two chaps at different places married to Kenyan women. What i saw is that tehy like to be dominant in the family, to an extent of beating their husband. This behavior is more prominent with Kikuyus. You cant change them. BEWARE.
Nimekusikia mkuu
Ila unaweza kuendelea kumega siyo mbaya kama ana mvuto ila kwa kuoa mshikaji tafuta mndamba mwenzako au mnyamwezi you can use them 4while but the right person ambaye utammudu na kuweza kumwelewesha unapenda nini na hutaki nini
Yaani we acha tu mtu wangu hawa watu ni matatizo matupu na kama ukijidai mtanzania kweli mzalendo na mpenda amani ya kitanzania ukaenda kumtafuta mtu wa karibu yake yaani mkenya mwenzake kwamba atumie busara kidogo ajaribu kuongea na ndugu yake aache wenge na atulie utashangaa wanaungana na kuwa kitu kimoja yaani unajikuta kesi ya nyani umempa ngedere then anakuwa adui yako kabisa na anampa mbinu nyingine kali zaidi ya kukukera.
KIFUPI HAWA WATU HAPANA SIYO KABISA CPENDI UBAGUZI LAKINI HAWA HAWABEBEKI HATA NA MBELEKO YA CHUMA
Niliona Jamaa mmoja kanywa sumu na kujiua baada ya mdada wake wa Kikenya kufilisi mali ya huyo yooote sijui alifanya manuva gani akauza ,gari ,nyumba na kila kitu na kumwambia hana mpango nae akatafute mke TZ
kaka wajua ukisemacho?,,,, wajua mkoa wa nyanza upo sehemu gani ya kenya na wakazi wake ni makabila yapi na yana tamaduni zipi? Hebu fatilia kwanza ndipo useme hayo mambo ya ukeketaji na tohara.
Mkuu, makabila yooooote ya huko Kenya ukiondoa wale wa Mombasa wanawafanyia wanawake huo unyama. Bisha?
Na upishi hawajui. Period!
Bwana tusilembeshane hapa hawafai kuolewa TZ hao bana aaa
Duh.... hizi page tisa kweli zinatisha na zinaweza kumfanya Mdau Sherrif abadilishe uamuzi wake wa kuendelea na huyu dada... LAKINI..
Je haiwezekani kwamba huyu Dada yupo tofauti na hao wengine?, pili labda tuwape Chance wanye mtizamo tofauti ili Mdau apate upande mwingine wa shilingi.., after all haiwezekani kwamba hawana mazuri hata kidogo...,
Mimi naomba kuuliza ni yapi mazuri ya dada hawa ili Sherrif angalau apate positives sababu negatives zimekuwa nyingi kwenye hii post.. au hazipo?
mtu yupi, mkuu?sherif huyo mtu duuuu
Mkuu, nipo!
Bado naendelea kuyapokea maoni na mitazamo yetu. Nitayachunguza yote yaliosemwa. Bado nakaribisha maoni yenu
Ahsanteni sana