jamani katika pitapita zangu nimekutana na kimwana mkenya, mwenye asili ya hukoo nyanza. Tumeanza ku-date kama miezi 6 iliyopita. Ni mzuri wa sura na tabia yake so far ni poa. Mcha mungu kiasi na shule kichwani imetulia, na ana career. Kiswahili ndio hicho hicho cha kuvunjavunja. Kwa kifupi so far tume-click!! Kila siku naona hapa jamvini sifa za wanawake mara wa kirangi, kichaga sijui wahaya and so on.
Nahitaji kujua sifa za hawa wadada toka kenya. Najua wengi wenu mmeshakumbana nao na mnawajua sifa na tabia zao. Nahitaji kujua wasifu wao ili nijue kabla sijafika nae mbali huyu demu wa baba moi ili nijue kama kusuka ama kunyoa.
Natanguliza shukran zangu!!
ni kama wamachame tu. Ongea na mtu alieoa mmachame atakusimulia
mkuu unaweza kufafanua kidogo hiyo comparison ulioshauri hapo juu?
Kaka stop being dramatic, wewe unaoa msichana au NCHI/Kabila?? kila binadamu anazaliwa na kuwa na personality yake kutegemea na maonjo yake na mazingira aliyokulia. Kuna mapungufu na strenghts, cha msingi we analyse uone kama huyo 'mtuhumiwa' ana persona unayoona inavumilika au la. Kwisha habari.
Kaka stop being dramatic, wewe unaoa msichana au NCHI/Kabila?? kila binadamu anazaliwa na kuwa na personality yake kutegemea na maonjo yake na mazingira aliyokulia. Kuna mapungufu na strenghts, cha msingi we analyse uone kama huyo 'mtuhumiwa' ana persona unayoona inavumilika au la. Kwisha habari.
Tz wadada wamejaa tele, oa kwenu tu kakaangu hao unaowasema wana wezana wao kwa wao i mean na wanaume zao. We ulishazoea kubembelezwa, kupikiwa, kufuliwa, kuheshimiwa kama mume huko unakotaka kwenda hakuna hata kimoja hapo usijejuta badae wanaume zao wenyewe wanatamani huku.
Bwana tusilembeshane hapa hawafai kuolewa TZ hao bana aaa
hatunanga Shida!!
Venye umempenda mkeii, venye utamuacha.
Mfahamisheni:msela:
Jamani katika pitapita zangu nimekutana na kimwana mkenya, mwenye asili ya hukoo Nyanza. Tumeanza ku-date kama miezi 6 iliyopita. Ni mzuri wa sura na tabia yake so far ni poa. Mcha Mungu kiasi na shule kichwani imetulia, na ana career. Kiswahili ndio hicho hicho cha kuvunjavunja. Kwa kifupi so far tume-click!! Kila siku naona hapa jamvini sifa za wanawake mara wa Kirangi, Kichaga sijui Wahaya and so on.
Nahitaji kujua sifa za hawa wadada toka Kenya. Najua wengi wenu mmeshakumbana nao na mnawajua sifa na tabia zao. Nahitaji kujua wasifu wao ili nijue kabla sijafika nae mbali huyu demu wa baba Moi ili nijue kama kusuka ama kunyoa.
Natanguliza shukran zangu!!
Nimeona wabongo wengi wanaoa au kuzaa na waganda na sio wakenya sijui kwa nini?
Inategemea mie wangu ni Mkenya na anatabia nzuri tu hana makuu na malove anayajua vilevile.
Mademu wengi wa Kikenya wanapenda wanaume wa Kibongo sababu njemba za kikenya hazijui kubembeleza totoz.:A S thumbs_down: