Kigoma 2015
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 371
- 93
Habari wana jf.
Rafiki yangu mmoja amenisimulia juu ya bro wake aliyeoa mke kutoka kigoma. Sasa jamaa alikuwa anatoka nje ya ndoa ila kila akikutana na hawara yake, jogooi hasimami ila akirudi kwa mkewe mambo shwari, amehangaika sana mpaka kwa waganga ndipo akaja kuambiwa kuwa wanawake wengi wa kigoma kuna dawa wanatumia kwamba ukienda kwa mwanamke mwingine huwezi fanya lolote ila ukiwa kwa mkeo mambo yanakuwa safii! Wadau mnalizungumziaje hili, kuna ukweli wowote?
Mbona hizo chamtoto mimi nilikuwa nakwenda na baba angu mdogo minadani n dingi ni mkali noma hapitwi sikumoja tupo zehem flani inaitwa ndala ipo Tabora wenyeji wa tunapajua kaopoa toto la kinyamwezi ile anataka kuduu naee akajikuta hana mpini mara anaona panya anapita kweny dari na mpini anakimbia nae alipiga kelele kama chizi
hiki ni kisa cha kweli
Lol...Kusudi haiambiwi pole

Naweza kukubaliana na wewe, kuna rafiki yangu mmoja yeye aliachana na mkewe mmoja mwenye mchanganyiko wa kiarabu na kimanyema, baada ya kuachana naye akaamua kumuoa mke mwingine. Basi baada tu ya kuingia ndani jamaa akawa kila akitaka kufanya tendo la ndoa jogoo hasimami hata kidogo, lakini siku mwanamke akiwa katika siku zake, jogoo linasimama haina mfano na jamaa anakuwa na hamu ya kufa mtu, lakini siku zikiisha tu jamaa anarudia na hali ile ile. Aliteseka sana huyu rafiki yangu
Mbona hizo chamtoto mimi nilikuwa nakwenda na baba angu mdogo minadani n dingi ni mkali noma hapitwi sikumoja tupo zehem flani inaitwa ndala ipo Tabora wenyeji wa tunapajua kaopoa toto la kinyamwezi ile anataka kuduu naee akajikuta hana mpini mara anaona panya anapita kweny dari na mpini anakimbia nae alipiga kelele kama chizi
hiki ni kisa cha kweli
Waisambaze hiyo janja tuangamize ukimwi ndani ya ndoa
Habari wana jf.
Rafiki yangu mmoja amenisimulia juu ya bro wake aliyeoa mke kutoka kigoma. Sasa jamaa alikuwa anatoka nje ya ndoa ila kila akikutana na hawara yake, jogooi hasimami ila akirudi kwa mkewe mambo shwari, amehangaika sana mpaka kwa waganga ndipo akaja kuambiwa kuwa wanawake wengi wa kigoma kuna dawa wanatumia kwamba ukienda kwa mwanamke mwingine huwezi fanya lolote ila ukiwa kwa mkeo mambo yanakuwa safii! Wadau mnalizungumziaje hili, kuna ukweli wowote?
Mpe pole sana mwambie hapana chesea watu ya Kigoma
Kuna mmoja anaitwa mama ronaldo ni balaa mdada hatari sana kitu tigo k kwa mkeo we mulize mtu yeyote wa kigoma kuna mkuu wa wilaya alimwacha mke.
kikiziba cha mbele cha nyuma kinazibuliwaMi natafuta niweke kwa demu wangu akitoka nje kiwe kinaziba
Porojo jazz band
mbona nasikia hawa wanawake huwa hawana wivu??
Mi natafuta niweke kwa demu wangu akitoka nje kiwe kinaziba