SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,802
Fredrick Summaye1. Kwa misiba ya Karibuni ya watu maarufu hapa nchini (Mafuru na Ndugulile) nimegundua wajane wote ni toka Uchagani.
2. Hawa viumbe wananusa fursa na kujulia namna ya kukuza kipaji cha mume mpaka ngazi za juu. Tofauti na wanaume wa Uchagani wanaoshobokea Wadangaji wanakuja kuharibu familia na Mali za marehemu (RIP Dr Machache).
Orodha ya watu maarufu waliooa Uchagani
3. Dr Lameck Madelu N. (PhD),
4. Mhe. January Makamba (MP),
5. Prof Kitila Mkumbo (PhD),
6.
Ila moto waliupata.Fredrick Summaye
Benjamin mkapa
John Mongela
Hawa pia wameonja Kilimanjaro!!
Dah!Mengine mezea aisee!Ila moto waliupata.
Kuna mmoja hapo aliwahi kupigwa na stuli ya ugoko hadi goti likateguka...😂
Kuna huyo mwingine anae fuata aliuona moto hadi akaamua kuama na kuisusia nyumba akaenda kuishi kwa mpango wa kando..😜
Nataka nioe mchaga mkuu, ebu nishauri..😑Wachaga safiii
Mabinti wao,watamu sanaWachaga safiii
Huyu Dr Machache Mke wake wakwanza si alikuwa mchaga?Hawa viumbe wananusa fursa na kujulia namna ya kukuza kipaji cha mume mpaka ngazi za juu. Tofauti na wanaume wa Uchagani wanaoshobokea Wadangaji wanakuja kuharibu familia na Mali za marehemu (RIP Dr Machache).
Alikufa akiwa na MnyarwandaHuyu Dr Machache Mke wake wakwanza si alikuwa mchaga?
"Wana nyonyo kubwa kalio dogo"🤣🤣🤣🤣🤣🤣nyie wanafki mnawasifia dada zetu hapa halafu mkiwa bar mnawaponda wana nyonyo kubwa kalio dogo.
enewei wakija huko tunawapa mission na watawanyoosha.
kuna jamaa alisema hivyo aliniumiza sana"Wana nyonyo kubwa kalio dogo"🤣🤣🤣🤣🤣🤣
uuu hii ni kweli aiseeKuna code hujaijua hapo,ukioa mchaga miaka 60 hutoboi
Ukiona hivyo jua watoto wananyonya na kushiba hakuna mtoto ananyonya kalio mkuu🤣kuna jamaa alisema hivyo aliniumiza sana
DuhNimezaa Na Mchagga, Msukuma, Mhangaza Na Mmwela. Kila mtoto wangu ni first born