Wanawake wa kichaga mkoje?

Tz kuna makabila zaidi ya 124,kwani lazima muwaowe wadada wa wachaga?Waacheni na tabia zao,Mlipokutana hukuja kutoa taarifa hapa iwije yamekushinda mbio JF?

Tafuta pesa pesa kijana umeowa mtambo wa matumizi na malengo

Hahhahahahah
 
Mkuu watuachie dada zetu kama wao kazi ni umario huku mjini..

Mi nawapenda sana dada zangu kwa jinsi wanavyowanyoosha hawa vyasaka. Ukiona dume zima badala ya kuwa kichwa cha nyumba lenyewe linalialia kama jibwa koko, ujue dada zetu wako juu sana.....
 

Aaaah wapi........hakuna kitu.........
 
Mi nawapenda sana dada zangu kwa jinsi wanavyowanyoosha hawa vyasaka. Ukiona dume zima badala ya kuwa kichwa cha nyumba lenyewe linalialia kama jibwa koko, ujue dada zetu wako juu sana.....

Tatizo walishazoea kuwaona baba zao na mama zao wakicheza bao na kupiga umbeya asubuhi mpaka asubuhi. Akategemea akimwoa mchagga ataendelea kufanya huo upumbavu wa wazazi wake then amchekee tu..
 
Tatizo walishazoea kuwaona baba zao na mama zao wakicheza bao na kupiga umbeya asubuhi mpaka asubuhi. Akategemea akimwoa mchagga ataendelea kufanya huo upumbavu wa wazazi wake then amchekee tu..

Hahahahahaaaaa. Thread Closed.

Makofi kwa wadada wa kichaga tafazali.
 
Yaani hapa nimekushangaa, eti mkuu unapenda meno ya kuoza na utapeli wa mapenzi? Pole lakini.
 
Umeona eh... yani unakuta jitu linawakashifu dada zangu wakati ndo linaelekea kwa paroko kuandikisha ndoa na mtoto wa kirombo....

Hahahahaa I hope Eli79 ujumbe umemfikia
 
Last edited by a moderator:
Kwa upande wangu mi nawakubali Sana wachaga wana mapenzi ya kweli angalau si wajuzi Sana wa mahaba ila wanafundishika Mimi ni mtoto wa kimachame mzuri Kama msomali na Nina mtoto nae mmoja
 
Ebwana hawa wanawake wakichaga wengi wao ni shida no descipline,they think money is everything hasa umkute yule aliye hamia mjini utajutanae afadhali born in town mazingira yanawasaidia kidogo ,,,utasikia oooh nimetumwa kutafuta hela kuna mtu anatafuta mawe hapa mjini? acheni hzo pesa zenyewe unataka mwanaume akupe capital soo huo ni utafutaji gani basi be totally independent na nikitaka penz ni charge kama wale wengine yaishe sio kelele zi sizo na mwisho!... ila dawa yao ni ndogo sana nita ku pm mkuu!
 

Utoto unakusumbua. Ukikua utaacha.

Hiyo dawa kwanini umwambie PM kama si woga wa kitoto?
 
yebo kumekucha mpaka january nadhani itakuwa balaa nijiandae kuvimba mashavu na moyo kuumia kwa misuto mfululizo msimu huu loh
 
Reactions: B12
ha ha ha jamani duh
 

Kweli kwa anayekuja na swaga ya ahadi isiyotimizika tupa kule mpaka p**by zimsinyae.
 

Tafuta hela acha njaa,mbona wazawa was hapa mjini ndio njaa mwanzo mwisho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…