Wanawake wa kichaga mkoje?

mi wangu mchaga lakini ni kama siyo mchaga hana mambo ya ajabu, nikipata talwa nikikosa nitatafuta ili nipate ananivumilia.

Umeona sasa. Kumbe we mwanaume. Kwa mwanaume binti wa kichagga wala hamsumbui. tatizo ni hivi vivulana vimarioo. dada zangu acha wawapige tu. baaas
 

ukimaliza kuichora niite niipake rangi ipendeze.
 

Na nyie dada zangu mnaniangusha bhana..... hawa wanaolialia muwe mnawaua kabisa tupunguze kelele hapa. usisahau maiti hazipigi kelele. Mi nasema waueni tu.
 
ila si wachaga wote wako hvyo wengine ni safi kabisa.

Mwambie ni wote wako hivyo ili akae mbali na dada zangu..... vinginevyo atapigwa tu. nami nasema apigwe tu. Nyambaf
 
Umeona sasa. Kumbe we mwanaume. Kwa mwanaume binti wa kichagga wala hamsumbui. tatizo ni hivi vivulana vimarioo. dada zangu acha wawapige tu. baaas

uzuri wa waschana wa kichaga ni kuwa si wazembe na magolikipa ndo maana ninampango wa kumuoa huyu mtoto wa kichaga.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…