wanachukulia cheating ya mwanaume kama everyman s habit unlike women in the west,hawatolerate cheating ndio maana kwao divorce rate ziko juu compared to africa,
nauliza je hatuko confident kama wanawake wa mabara mengine?nani alitufundisha kutolerate cheating?wazazi wetu au?
uko sahihi kabisa Mkuu!wewe usipotoshe wenzio hapawanaume wa kiafrika kwa miaka mingi tuna ruhusiwa kuwa na wake wengiutamaduni wa kuwa na mwanamke mmoja sio wa kiafrikaumeletwa na wazungu na bado tunajifunzawale wanaoshindwa sio kuwa wana cheatbali wanachumbia........mwanaume wa kiafica ha-cheatila anachumbia
Je hao wote bado wako kwenye ndoa? Or hizo ndoa zinafunction? Kwa case ya Clinton for example, r they real a couple kwa ndani au on the outside tu?Mtoa mada alisema, westerners don't takebulls..t kwenye ndoa n that's y divorce rate ni kubwa tofauti na huku; na mimi nafikiri ndio maana huku rate ya maambukizi ya VVU kwa wenye ndoa ni kubwa kuliko kwa wenzetu! Imagine kina mama unavumilia ndoa for the sake ya watoto after few yrs, unakufa kwa ukimwi!
unaanzisha mada huku uelewa wako mdogo kabisaunajua tafsiri ya mke???????unajua culture inayoruhusu ndoa zaidi ya mwanamke mmoja vizuri?wanawake wangapi matajiri na wanaolewa mitala?aliekwambia waafrica walitembea uchi zamani ni nnani?unaijua historia wewe vizuri??????
hahahahah looohh
kazi kweli kweli
ndo maana mie nime mtafutia wangu
nyumba ndogo......
........natamani hili somo kila mwanamke apate, hakuna kuoneana kwenye mapenzi siku hizi. Yaani I wish kila mwanamke aambiwe ukiona mumeo anacheat muache. Mimi roho yangu inauma kuona wadada wanakufa bado wadogo sababu ya kuvumilia kwenye ndoa ambayo mume alikuwa cheater.
Tatizo baadhi ya wanawake wanategemea wanaume kiuchumi, hivyo hata mumewe akiwa anacheat inakuwa ngumu kutoka kwenye ndoa.
Pretty,........natamani hili somo kila mwanamke apate, hakuna kuoneana kwenye mapenzi siku hizi. Yaani I wish kila mwanamke aambiwe ukiona mumeo anacheat muache. Mimi roho yangu inauma kuona wadada wanakufa bado wadogo sababu ya kuvumilia kwenye ndoa ambayo mume alikuwa cheater.
Tatizo baadhi ya wanawake wanategemea wanaume kiuchumi, hivyo hata mumewe akiwa anacheat inakuwa ngumu kutoka kwenye ndoa.
wewe usipotoshe wenzio hapa
wanaume wa kiafrika kwa miaka mingi tuna ruhusiwa kuwa na wake wengi
utamaduni wa kuwa na mwanamke mmoja sio wa kiafrika
umeletwa na wazungu na bado tunajifunza
wale wanaoshindwa sio kuwa wana cheat
bali wanachumbia........
mwanaume wa kiafica ha-cheat
ila anachumbia
thanks,uelewa wangu mie mdogo why bother answering my posts.....???
hakuna mwanamke anayekubali kushare mwanaume na mwanamke mwingine UNLESS ana sababu either watoto au kiuchumi ni dependent...period...
sasa unabisha kuwa hata nguo ni utamaduni tulioletewa??????mnh mie ligi zisizo na kombe siziwezi.....