Wanawake wa karne hii mmetisha

hivi diamond aliuona uwezekano wa kusalitiwa kimbele hata akatoa ule wimbo wa utanipenda?
 
hivi wapo tu wafaidi maisha ya kifahari?...
 
weee ukishaoa mwanamke ambaye alishagegedwa kabla ya ndoa usijidanganye kamwe eti hata gegedwa nje ya ndoa. wewe gegeda papuchi pata raha basi.
lakini ni mkeo..haya utayakabirije mkuu?
 
Umeongeaa fact sana aisee....huu ni ukweli mtupu siku hizi wasichana wengi ndio mlivyo mnapenda kuolewaa pale ambapo kwenye unafuu wa maishaa
ndivyo wengi wanafanya siku hizi mkuu..unapata mtoto wa kike kafata pesa wala si kwa ajili ya mapenzi..mwisho wa siku anachepuka na yule mpenzi wake wa moyoni
 
wa kwangu ukinigongea nigundue nakuzawadia...[emoji30]
 
mkuu rejelea mada..hamna ubaya wowote ila inauma sana...hata ukiwa mustaarabu vipi bado ina challenge ya aina fulani..kwanza ukizingatia huyu ni msanii mkubwa hivyo wakati mwingi anafuatiliwa..
 
ndivyo wengi wanafanya siku hizi mkuu..unapata mtoto wa kike kafata pesa wala si kwa ajili ya mapenzi..mwisho wa siku anachepuka na yule mpenzi wake wa moyoni


Suala hilo lipo wazi mbona mana hata chanzo cha single mother wengi ndio hivyoo


Unakuta msichana yupo kwenye mahusiano na mvulana mwisho wa siku mwanamke anabeba ujauzito wa mwanaume pasipo makubaliano na huyoo mwanaume mwisho wa siku mwanaume anaamua kulea mimba tuuu
 
mkuu hivyo unamaanisha asilimia kubwa hawajatulia kwa mpenzi sahihi ama ndio vipi?
 
kweli mkuu...ukweli usiopingika ni kuwa zaidi ya 70% ya wanaume wanalea mimba na hatimaye watoto wa wanaume wengine..ndiyo sababu mtoto anafikia ukubwani na kuanza dharau kwa "babake"
 
Ndo manamake ya siku hizi hayo, yanajua kupara uso na kufyata makalio.........
 
Siku hizi wasichana wengi wapo kwa maslahi ....

Mfano unakuta msichana anaangalia mwanaume wa kuolewa naye kama huna hela mwanaume ni vigumu sana kwa sisi wanaume kuwa na motto mzuri
 
mimi nishajiwekea , watoto wangu wote lazma kwa mkemia tukapime D.N.A

silei wa kusingiziwa mimi
 
mimi nishajiwekea , watoto wangu wote lazma kwa mkemia tukapime D.N.A

silei wa kusingiziwa mimi
Yaani miaka hii mwanamke akijifungua mtoto kafanana na mumewe anamshukuru Mungu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
mkeo ndio lakini najua atagegedwa nje ya ndoa....mke ni for business...the business is having kids basi
bora kule ulaya..mnaandikiana contract ya miaka mingapi mtakuwa pamoja..baada ya hapo mtu na hamsini zake...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…