the viking
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 1,170
- 1,373
mkuu sasa tupe mawazo yako
Wanawake wengi wa karne hii wanaingia kwenye ndoa sio kua wamewapenda hao wanaume!!! Wanatafuta maisha marahisi!!! Yaani wanaume wenye uwezo wasikurupuke kabisa kwenye kuoa... Mtu yupo tayari kumuacha mpenzi wake pembeni, tena wanakubaliana kabisa kua anaolewa ila nyapu bado anamuachia mpenzi wake wa pembeni!!!
Kuna mdada, rafiki wa rafiki, kaolewa yaani ndoa haina ata mwezi teyari anahangaika mtaani na mwanaume wake wa zamani! Yaani bila kuficha, marafiki zake wakimuuliza anasema pale kaolewa kupata matunzo tu.
Si kweli mkuu! Ni swala la uaminifu! Wengine ata kwenye mahusiano hatuwezi ruhusu dushr kupokezana kwenye papuchi!weee ukishaoa mwanamke ambaye alishagegedwa kabla ya ndoa usijidanganye kamwe eti hata gegedwa nje ya ndoa. wewe gegeda papuchi pata raha basi.
Si kweli mkuu! Ni swala la uaminifu! Wengine ata kwenye mahusiano hatuwezi ruhusu dushr kupokezana kwenye papuchi!
Duuh! Umetutusi mkuu!mie haijalishi wether dushe zinapokezana au nini...cha msingi umegegedwa nje ya ndoa u r damaged goods
Duuh! Umetutusi mkuu!
Wanawake wengi wa karne hii wanaingia kwenye ndoa sio kua wamewapenda hao wanaume!!! Wanatafuta maisha marahisi!!! Yaani wanaume wenye uwezo wasikurupuke kabisa kwenye kuoa... Mtu yupo tayari kumuacha mpenzi wake pembeni, tena wanakubaliana kabisa kua anaolewa ila nyapu bado anamuachia mpenzi wake wa pembeni!!!
Kuna mdada, rafiki wa rafiki, kaolewa yaani ndoa haina ata mwezi teyari anahangaika mtaani na mwanaume wake wa zamani! Yaani bila kuficha, marafiki zake wakimuuliza anasema pale kaolewa kupata matunzo tu.
Shikamooo PaprikaSi kweli mkuu! Ni swala la uaminifu! Wengine ata kwenye mahusiano hatuwezi ruhusu dushr kupokezana kwenye papuchi!
Kaka nakuona kwenye ubora wakoWengine wanaingia kwenye ndoa kutest zali...Halafu unakuta ni Single Mom
dah!!kuna ukweli katika hiliUlimbuken na kasumba ya kutaka kuishi maisha ya kifahari na kufuja Mali tu,,, akimaliza chake unamuona anatoka nduki hata hakukumbuki tena