Tutole uzinzi wako unatongoza malaya halfu unajisifu we ni mjinga kwelikweli ufahamu wako wote umefunikwa na uasherati Mungu akusaidie sana kupitia mwanae Yesu ukapate kuijua njia ya uzima na kuacha kujisifu kwa ajiri ya uzinziwe unatongoza machangu halafu unajisifu, machangu hata ukitongoza 100 hamna atakaye kataa wala kusema nipe muda nikajifikirie, we mwanamke unakaa nae hoteli ujue changu huyo mstaarabu angekumbuka kurudi nyumbani.
nenda kajipange