Wanawake wa kahama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wa kahama

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Hute, Apr 9, 2012.

 1. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,926
  Trophy Points: 280
  huku wamejaa wasukuma na wengine toka kigoma etc. nimeishi hapa kwa miezi miwili sana, huwezi amini, kila mwanamke ninayekutana naye mara ya kwanza na kumtongoza, anakubali. siku ya kwanza, nilimkuta mmoja kazini kwake, nikamwomba anipe tunda akakubali. ya pili nimekaa zangu naenda dukani nikamtongoza wa dukani akakubali, nimetongoza karibia wanawake kumi, wote wanakubali. nimelala na mmoja tu, wengine nilikuwa nawaahidi kuwadooo afu nalala mbele. uyo naye alikuwa mzuri sana, huwezi amini alikubali kwenda kupima tukapima kwanza ndo tukadooo. SWALI; HIVI WANAWAKE WA HUKU HUWA HAWAKATAI? AU IMENITOKEA MIMI TU......
   
 2. Inno laka

  Inno laka JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 1,592
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  Si unajua mademu wa kahama weng wao njaa nyingi,,'weng wametoka pand mbali mbali il wasake maisha hapo unajua nn tafuta ambao amewashnda wengne alaf umtokee si shda yako kukataliwa
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Unaomba ya kazi gani kama hutegemei kupewa? Acha kujishau. . .
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Sifa za kijinga-mkoloni
   
 5. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  umeshawatongoza wanawake kumi na huna mpango nao,wewe ni mental case!
   
 6. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  kaka umetukosea sana wasukuma, unatufananisha na wale wa buguruni kwa madenge?
   
 7. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kama umethubutu kutongoza wanawake wooote hao na huna nia nao nina mashaka na jinsia yako. Yawezekana walikukubali kwa kukuona shoga yao.

  Na huo uongo wa kupima ndio ukaduu ni wa kitoto. Sasa kwa taarifa yako, window period ni 3months
   
 8. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  duh wewe mpaka unatongoza...!! wengine pande hizo ni chap chap kwa kwenda mbele...

  Si unajua tena....

  mapenzi ya kugandana ni ya zama za kale..,siku nzima kudanganyana ishakuwa poa poa tu..., karibu chama la bachala, ukinipenda tunamaliza leo leo tu.....:heh:

  I think you get my drift (au unataka muanze kusumbuana mwezi mzima kama vile unatafuta ndoa)
   
 9. Donkey

  Donkey JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 676
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 80
  Mleta mada umetoka wapi, Kahama ni very expensive place to visit in Tz,we umekwenda kufuata wanawake, wenzako wanakwenda kufuata pesa, du watu wengine bwana, Kahama ni moja ya wilaya zenye watu wenye uwezo mkubwa kipesa, acha ushamba wa wanawake hapa, na ntaomba ufungiwe JF
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Unaenda kwenye machimbo afu hujafanya hata feasibility study, hovyooo!

  Waj.ing.a ndo waliwao, ngoja wakupeleke Kakola utaisoma namba.

  Utarudishwa kwenu kwenye mfuko wa rambo!
   
 11. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Dogo Kahama watu wanapeleka pesa benk kwa mifuko ya rambo, we unapeleka kwa wanawake vi shilingi vyako?
   
 12. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  We mtoa mada huna maana unaijua kahama au unaisikia?
   
 13. k

  kabye JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  magonjwa noma mzee, chapa-chapa kwa makini
   
 14. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #14
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wanawake wa Kahama ni kweli haya yaliyosemwa au kaamua kudhalilisha?
   
 15. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #15
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mi nimesikia wanawake wa huko wakisikia umetoka Dar ndo wanakuwa hivyo
  sio kwa kila mtu..only kwa wanaotoka Dar
  but sijui ukweli wake
   
 16. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #16
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,926
  Trophy Points: 280
  ACTUALLY kwa kukusaidia, ni kwamba mara nyingi huwa nafanya biashara za madini, nilikuja hapa kahama/Kakola kutokea Geita na Nzega. home ni dsm. nimeondoka dsm nina miezi kama sita hivi, nisingeweza kukaa vila mwanamke, ndio maana nikatafuta mademu. nilichokuwa nasema ni kwamba, mikoa mingine nilikokuwa napita wanawake si warahisi hivyo, lakini hapa amini usiamin, ukitia ndoana tu unavua samaki. kilichokuwa kinanifanya niwaache wengine ni kwamba, huu ni mji wa madini, kuna watu wana pesa sana, na ngono zipo nyingi sana, kwa wale wanaoijua kahama, jioni ukienda pale Rocky hill hotel, utaona namna machangu walivyo wengi....wanawake karibia wote hapa hata wasio machangu nafikiri wakiona mtu anaonekana kama mgeni au anazo, wanafikiri wananufaika awape pesa, kwasababu watu wa madini wamezoea kutapanya pesa kwa namna hiyo....sasa wewe mwenzangu, unasema labda nitakuwa shoga, shoga anatongoza wanawake, hahaha. acha mambo ya ajabu bwana.

  kwenu nyie wanawake, ukitongozwa na mwanamme ukakubali bila kipingamizi, anaweza kukukimbia, mbona bila upinzani? au una ngoma? mbona mrahisi kihivyo?, pia kwako wewe unayesema sikupima, nilipima, na kadada hako nakaa nako hapa hotelini hata sasaivi kametoka nje tu, ila tulipima, na bado natumia kondom pamoja na kwamba nimepima....upo?
   
 17. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #17
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Kwa mikoa mingine si Arusha au Mwanza au Mbeya Town,labda naminywili au tandahimba au mwanambaya huko sitimbi.
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  kakutana na wakimbiza mwenge walioko Kahama.
  Wanahudumia migodi na miji kama Kahama, kakola, nzega, geita, Buckreef, na Tarime.

  Wakikosa wanaenda hata kwa kwenye 'maduku'

   
 19. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #19
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,926
  Trophy Points: 280
  ninaijua kahama kuliko unavyoelewa, hata sasaivi nipo kahama, Mongo hotel hapa.
   
 20. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #20
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,505
  Likes Received: 6,003
  Trophy Points: 280
  we unatongoza machangu halafu unajisifu, machangu hata ukitongoza 100 hamna atakaye kataa wala kusema nipe muda nikajifikirie, we mwanamke unakaa nae hoteli ujue changu huyo mstaarabu angekumbuka kurudi nyumbani.
  nenda kajipange
   
Loading...