Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,391
- 88,767
Anhaaaa.. mi namjua kwa Hakika ndo maana natumia HNKika....alikua anaekewa hashtag kiboko yangu
Anhaaaa.. mi namjua kwa Hakika ndo maana natumia HNKika....alikua anaekewa hashtag kiboko yangu
Nakumbuka na aslay alimuachaKumbe cheusi vile loo,,halaf alikuaga demu wa aslay kipindi hcho na ngoma aliyokuwa akicheza ni ya aslay
Ngoja niulizie ntapata habariNahisi ila sina uhakika kutokana na vitu vitu ninavyoona
Kweli wakunyumba dada angu na watu wa mjini tofauti yaan sijui nitaanzaje kumpa ubuyu
Sawa mamaNgoja niulizie ntapata habari
Ha ha ha nishazoea la kikaAnhaaaa.. mi namjua kwa Hakika ndo maana natumia HN
Wale kubadilishana mabwana na madem kawaida tuKumbe cheusi vile loo,,halaf alikuaga demu wa aslay kipindi hcho na ngoma aliyokuwa akicheza ni ya aslay
Utamchosha tu...Kweli wakunyumba dada angu na watu wa mjini tofauti yaan sijui nitaanzaje kumpa ubuyu
Eheee,,halaf kuna demu alikua wa Aslay alidedi na ngoma,,na alikaa nae muda mrefu kweliNakumbuka na aslay alimuacha




HayaKwa ninavyokujua dada hao watu huwajui kabisa ujue ahahhh
Yupi huyo aliekufa?Eheee,,halaf kuna demu alikua wa Aslay alidedi na ngoma,,na alikaa nae muda mrefu kweli
Umeona kademu kake ka sasa hivi![]()
Unanifurahisha mhenga mwenzangu![]()
... maana sijaongea nae muda mrefu inabidi nitumie watu wengine nipate hii habari kwa mapana.![]()
![]()
![]()
... maana sijaongea nae muda mrefu inabidi nitumie watu wengine nipate hii habari kwa mapana.

mrejesho muhimuHamumfaham ni wa shamba huko alikua akienda anajishindiaYupi huyo aliekufa?
Ila kale katoto nako kabayaaa... Naima alimchora tattoo mkononi kwa mahaba alokua nayo kwa yule mtotoEheee,,halaf kuna demu alikua wa Aslay alidedi na ngoma,,na alikaa nae muda mrefu kweli
Umeona kademu kake ka sasa hivi![]()
Unatuchafulia uzi tusijeshindwa kulala tunaota vitu za ajabu!!Nawajua, si hawa hapa?
![]()