Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,388
- 88,760
Naunga mkono hojaLimekuwa jambo la kawaida kwa Hawa Dada zatu na Wadogo zetu wakipata uja uzito siku hizi ( Baadhi) huvaa nguo fupi mnoo,hili pepo limetoka wapi?.
Nani amewaroga,mnaiga hata fashion zisizokuwa na mashiko! Nani anataka kuoni hizo nyuchi zenu? Mnaboa sana.hizo nguo fupi kwanini zisivaliwe vyumbani kwenu wawaone waliowapa hiyo mizigo?
Nguo zinakuwa juu ya goti,kuinama ni shida,kutembea mnajistukia.mpaka Mtu uliyekutana naye unaona aibu! Waachieni machangudoa hayo mavazi! Vaa nguo pana na urefu wa kawaida iwe Binti Sayuni.
Hayo tu,kama sio mmoja wao, basi wafikishie ujumbe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema zinapata upepo mubasharaLimekuwa jambo la kawaida kwa Hawa Dada zatu na Wadogo zetu wakipata uja uzito siku hizi ( Baadhi) huvaa nguo fupi mnoo,hili pepo limetoka wapi?.
Nani amewaroga,mnaiga hata fashion zisizokuwa na mashiko! Nani anataka kuoni hizo nyuchi zenu? Mnaboa sana.hizo nguo fupi kwanini zisivaliwe vyumbani kwenu wawaone waliowapa hiyo mizigo?
Nguo zinakuwa juu ya goti,kuinama ni shida,kutembea mnajistukia.mpaka Mtu uliyekutana naye unaona aibu! Waachieni machangudoa hayo mavazi! Vaa nguo pana na urefu wa kawaida iwe Binti Sayuni.
Hayo tu,kama sio mmoja wao, basi wafikishie ujumbe.
Sent using Jamii Forums mobile app
UtandawaziLimekuwa jambo la kawaida kwa Hawa Dada zatu na Wadogo zetu wakipata uja uzito siku hizi ( Baadhi) huvaa nguo fupi mnoo,hili pepo limetoka wapi?.
Nani amewaroga,mnaiga hata fashion zisizokuwa na mashiko! Nani anataka kuoni hizo nyuchi zenu? Mnaboa sana.hizo nguo fupi kwanini zisivaliwe vyumbani kwenu wawaone waliowapa hiyo mizigo?
Nguo zinakuwa juu ya goti,kuinama ni shida,kutembea mnajistukia.mpaka Mtu uliyekutana naye unaona aibu! Waachieni machangudoa hayo mavazi! Vaa nguo pana na urefu wa kawaida iwe Binti Sayuni.
Hayo tu,kama sio mmoja wao, basi wafikishie ujumbe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ni balaa, kumbe Wengi inatukwaza sana hii kitu!Limekuwa jambo la kawaida kwa Hawa Dada zatu na Wadogo zetu wakipata uja uzito siku hizi ( Baadhi) huvaa nguo fupi mnoo,hili pepo limetoka wapi?.