Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Ooh sawa asante kwa ushauri"Anafurahia kukutamani pekee wala siyo kukupenda kwa dhati"
Na ninyi kwanini muwe kimahusiano na Mwanaume asiyejitambua kiasi hicho lkn?
Mwanaume yupi rijali anayejielewa kimaadili mema akapendezwa na Mke/Mchumba/Mpenzi wake atembee uchi barabarani au mitaani?
Vaeni kikahaba/kimalaya mkiwa vyumbani mwenu na Wanaume/Waume/Wapenzi wenu lkn si mbele za watu, la sivyo kwa 100% kiakili ni lazima Mwanaume anayejitambua akutafsiri unafanya biashara ya matangazo ya mwili wako ili waje Wanaume wahuni wakununue/wakuhonge ufanye nao ukahaba/umalaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
