WANAWAKE WA DAR!

WANAWAKE WA DAR!

Limekuwa jambo la kawaida kwa Hawa Dada zatu na Wadogo zetu wakipata uja uzito siku hizi ( Baadhi) huvaa nguo fupi mnoo,hili pepo limetoka wapi?.

Nani amewaroga,mnaiga hata fashion zisizokuwa na mashiko! Nani anataka kuoni hizo nyuchi zenu? Mnaboa sana.hizo nguo fupi kwanini zisivaliwe vyumbani kwenu wawaone waliowapa hiyo mizigo?

Nguo zinakuwa juu ya goti,kuinama ni shida,kutembea mnajistukia.mpaka Mtu uliyekutana naye unaona aibu! Waachieni machangudoa hayo mavazi! Vaa nguo pana na urefu wa kawaida iwe Binti Sayuni.

Hayo tu,kama sio mmoja wao, basi wafikishie ujumbe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapa mkuu hujamuonea mtu, umesema ukweli mtu. Hawa ndugu zetu baadhi yao wanapenda kuishi maisha ya videoni sana!
 
Siyo mapaja tu bali hadi papa lilivyopasuka pale katikati linajichora kwa 100%, sijui ndiko kutokuwa na maamuzi mazuri ya uongozi kiuanaume sawa na kichwa cha familia hadi kutokee na ujinga kiasi hicho?
Wanaume wa dar pia majanga! Unamruhusu vipi mke wako atoke kwenye himaya yako anaonyesha mapaja yake kwa wapita njia! So stupid

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachokwambia nina uhakika nacho kwa 100% sababu hata jana tu nilikuwa maeneo ya uwanja wa ndege, alipita dada mmoja hv akiwa ktk mishe zake akaangusha peni mbele za watu.

Kimbembe ni "Je ataiokota vp nakati nguo aliyoivaa ni laini sana/transparent na imeruka magotini hadi imefika usawa wa katikati ya mapaja yake?

Alisubiri sana akiombea tusimuangalie jnc atavyoiokota ile peni hadi Ilibidi watu tujifanye kama hatumuoni ndipo aliiokota haraka haraka, lkn kiukweli alijistukia sana na kufedheheka sana tulipogeuka tena kumuangalia alipoinama na kuacha uroda wote nnje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila nyie wanaume si ndio huwa mnafurahia mkiona hivyo

"Anafurahia kukutamani pekee wala siyo kukupenda kwa dhati"

Na ninyi kwanini muwe kimahusiano na Mwanaume asiyejitambua kiasi hicho lkn?

Mwanaume yupi rijali anayejielewa kimaadili mema akapendezwa na Mke/Mchumba/Mpenzi wake atembee uchi barabarani au mitaani?

Vaeni kikahaba/kimalaya mkiwa vyumbani mwenu na Wanaume/Waume/Wapenzi wenu lkn si mbele za watu, la sivyo kwa 100% kiakili ni lazima Mwanaume anayejitambua akutafsiri unafanya biashara ya matangazo ya mwili wako ili waje Wanaume wahuni wakununue/wakuhonge ufanye nao ukahaba/umalaya.
Ila nyie wanaume si ndio huwa mnafurahia mkiona hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom