BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,760
- 3,270
- Thread starter
- #61
Utamu hadharani,hatariNinachokwambia nina uhakika nacho kwa 100% sababu hata jana tu nilikuwa maeneo ya uwanja wa ndege, alipita dada mmoja hv akiwa ktk mishe zake akaangusha peni mbele za watu.
Kimbembe ni "Je ataiokota vp nakati nguo aliyoivaa ni laini sana/transparent na imeruka magotini hadi imefika usawa wa katikati ya mapaja yake?
Alisubiri sana akiombea tusimuangalie jnc atavyoiokota ile peni hadi Ilibidi watu tujifanye kama hatumuoni ndipo aliiokota haraka haraka, lkn kiukweli alijistukia sana na kufedheheka sana tulipogeuka tena kumuangalia alipoinama na kuacha uroda wote nnje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
