WANAWAKE WA DAR!

WANAWAKE WA DAR!

BOB LUSE

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
3,760
Reaction score
3,270
Limekuwa jambo la kawaida kwa Hawa Dada zatu na Wadogo zetu wakipata uja uzito siku hizi ( Baadhi) huvaa nguo fupi mnoo,hili pepo limetoka wapi?.

Nani amewaroga,mnaiga hata fashion zisizokuwa na mashiko! Nani anataka kuoni hizo nyuchi zenu? Mnaboa sana.hizo nguo fupi kwanini zisivaliwe vyumbani kwenu wawaone waliowapa hiyo mizigo?

Nguo zinakuwa juu ya goti,kuinama ni shida,kutembea mnajistukia.mpaka Mtu uliyekutana naye unaona aibu! Waachieni machangudoa hayo mavazi! Vaa nguo pana na urefu wa kawaida iwe Binti Sayuni.

Hayo tu,kama sio mmoja wao, basi wafikishie ujumbe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee ni kweli tena wengine ni wanawake wa makamo lakini wanachukuliwa na fasheni zisizo na maana zisizo ficha maungo yao.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Aisee ni kweli tena wengine ni wanawake wa makamo lakini wanachukuliwa na fasheni zisizo na maana zisizo ficha maungo yao.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Wanaume wa dar pia majanga! Unamruhusu vipi mke wako atoke kwenye himaya yako anaonyesha mapaja yake kwa wapita njia! So stupid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo wote mkuu. Halafu hawa wakina mama wanatoka wakati waume zao washawai makazini

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Yap,sio wote,ila hao Mbweha wachache wanachafulia Jiji! Kumbe wanasubiri Father house katoka ndipo wanavaa uchizi ule.ukibahatika kupita kwa madaktari Bingwa wa wanawake utatamani ardhi ikufunike usione vituko,kila mmoja anataka kumzidi mwenzie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wanajifanya wametoka ushuani,uzungu mwingi na vigali vyao vibaby walker A.K.A vifuu.Wanaogopa public Transport, watakuwa embarrassed

Sent using Jamii Forums mobile app
Afu Sijui huwa hawajiangilii kwenye kioo maana unakuta tako lote limemezwa na tumbo still bado anangangania kuvaa vinguo vifupi miguu yenyewe unakuta imevimba ova mihogo ya kutengenezea MBUTE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom