Wanawake wa Dar

Wanawake wa Dar

amigod

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2018
Posts
345
Reaction score
264
Sherehe
Habari za jioni wana janvi hili wenye hekima na wapumbavu asalaam note
Hivi nikweli au ni hisia zangu au ni masikio yangu tu husikia dar hakuna mke/ mme wa mtu
Mwanamke wa ndoa inatokeaje anaaga kwenda kwenye Sherehe akiwa peke yake na anaaga kuwa hajui itaisha muda gani hivyo huenda akaludi kesho na mumewe anaridhia jambo hilo
Sherehe inaisha haikeshi yeye anakesha wapi? Kwanini asilejee hata huo usiku mkubwa kwake kipi kizuizi kwake na halali ukumbini sasa analala wapi kama sio kwa mshikaji hio mbaya acheni
Lakini pia wanawake mkumbuke kuwa kwa kufanya hivyo mnatoa nafasi kwa waume zenu na wao kulala gest siku hiyo maana hakuna wa kumfuatilia mwingine hebu litizameni jambo hili kwa undani kisha muache tabia ya kukesha kwenye Sherehe mnaibiana sana



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana

Sent from my ONE TOUCH 4033D using Tapatalk
 
Wapumzisheni wanawake na wanaume wa Dar. Kuwa mkoani haina maana kuwa wakati wote tunaongozana na wenza wetu kama kumbikumbi
 
Back
Top Bottom