Wanawake wa Dar ni wasafi na pia wanajua kujiremba na kupika kuliko wa mikoani

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
922
1,465
Niwapongeze kwa kuipenda miili yenu, wanawake wa Dar mkitembelea mikoani mnakuwa na mionekano tofauti na wa huko mikoani.

Wengi wanawaamini katika sekta ya kujiremba na pia kukiwa na sherehe mikoani ninyi wanawake wa Dar endapo mkiwa huko mikoani mnapewa sekta ya mapishi na mapambo.

Hongereni sana wanawake wote wa Dar
 
Nakubaliana na wewe mleta mada.

Wanawake wa mkoani wengi wao hata umuhimu wa kusafisha vizuri papuchi zao hawauoni .
 
Du Kama Uasfi una utafsiri kwa kuonekana Mweupe na Mabaka kwenye Joint vidoleni basi Umepatia ila wakati huo huo Kama Usafi unaupima kwa Kuosha Papuchi Mbona utafiti unaonesha klwa wanaongoza kwa kuugua Magonjwa ya Zinaa na UTI.

Wadad wa Miikoani ni Wazuri naWasafi kwa kuwa hawatumiii mikorogo au vipodozi vya aina yoyote.
 


-Ndumilakuwili-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…