ndusyepo
Senior Member
- Jul 2, 2013
- 167
- 50
uko na mwanamke kwenye mahusiano hata wiki haijaisha unakuta anaanza kukubomu mara anataka pocket money kwa ajili ya matumizi madogodogo mara mama yake anaumwa zinatakiwa hela za matibabu mara ooh baby simu yangu hii inasumbua sana so ninunulie nyingine bby tena isiwe ya button nataka touch-screen eeh jamani wakina dada tutafika kweli kwa mwendo huu?