Wanawake wa aina hii waogope kama ukoma

Wanawake wa aina hii waogope kama ukoma

Hakuna ubaya kabisa lakini inategemea na urembo wenyewe na nature ya kazi yake. Ni vigumu kufanya kazi na kucha ndefu, au viatu virefu. Labda uwe umependa na umeamua awe golikeeper.
Sky Eclat, kumbe unajielewa kuna wengine wanatumia muda mwingi kujiremba badala ya kufanya ya msingi na anayo ya msingi ya kufanya.
 
We wa dunia ya ngap jmn? Mwanamke urembo na kioo lazma masaa 24. Nyie hao hao mkiona wanawake wako hovyo mnaanza kusema mwanamke hajipendi eheee mwataka nn jmn
Ngachoka mie..
Masaa 24? Hata wakati wa kulala.
 
Back
Top Bottom