Wanawake wa aina hii, Mungu anawaona

Wanawake wa aina hii, Mungu anawaona

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,267
Kila ukimuuliza hobby yake anakwambia ana hobby
ya kuimba kwaya, mtu huyohuyo mlevi wa kutupwa..!!
anafahamu Gesti zote mjini kuliko anavyofahamu
Table ya 7.....Anakwambia I love kids so much
wakati ametoka kutoa Mimba ya 9 wiki 3 zilizopita..
 
Anajuwa kabisa ni mwanaume wa shoka ila kwa sababu zake anazojuwa anakusevu kwenye simu yake kwa jina la kike.. Mungu anamuona
 
Anajuwa kabisa ni mwanaume wa shoka ila kwa sababu zake anazojuwa anakusevu kwenye simu yake kwa jina la kike.. Mungu anamuona
Huyo anaonekana live bila chenga
 
Mmmmh!mmmmh!mimba tisa ndani ya wiki tatu?hebu kuwa siraji japo kidogo
 
Back
Top Bottom