me nakataa kwan kuongea sana ndo kusema uongo kha! Madame B, Kongosho, sweetlady, marejesho Elizabeth Dominic, beibe nasty na wadada / wamama wote wa humu chit chat hebu njooni tumsute!
Jibu ya hili swali ni gumu kidogo, binafsi naona ngoma droo inategemea na mazingira ya wahusika.
Atakosekana vipi?
me nakataa kwan kuongea sana ndo kusema uongo kha! Madame B, Kongosho, sweetlady, marejesho Elizabeth Dominic, beibe nasty na wadada / wamama wote wa humu chit chat hebu njooni tumsute!
Shoga an'gu me bwana hata sitaki kusema Uwongo.
Wanawake Tumezidi Uwongo Kwenye Simu ,japo Mimi na Wewe hatupo.
Ila kiuhalisia sisi tumezidi,
yani mdada utamkuta anaongopa mpaka wote mnageuka kumuangalia.
Ila Makundi Haya Wamegawana.
Uwongo kwenye Simu-Wanawake,
Uzinzi-Wanaume.
Nani wanaoongoza kwa kudanganya kwenye simu? Wanaume au Wanawake? Haya fungukeni bila uoga!
Haa haa haa...umenifurahisha sana kwa kusema ukweli.
Duuh! hako kamgawanyo nimekapenda.
Nani wanaoongoza kwa kudanganya kwenye simu? Wanaume au Wanawake? Haya fungukeni bila uoga!
Umeona ee!!
Hv inakuwaje mwanaume unamuacha Mkeo kitandani na kwenda ktk chumba cha House girl ku-do nae?
Huogopi jamani?
Ukifumwa?
Wanaume,acheni Uzinzi!!
charminglady kusema "kata mshua/maza yuko hapa" mbona kawa tu kwenu? NOTE: Kwa wote I say 50/50 hapo juu
Shoga an'gu me bwana hata sitaki kusema Uwongo.
Wanawake Tumezidi Uwongo Kwenye Simu ,japo Mimi na Wewe hatupo.
Ila kiuhalisia sisi tumezidi,
yani mdada utamkuta anaongopa mpaka wote mnageuka kumuangalia.
Ila Makundi Haya Wamegawana.
Uwongo kwenye Simu-Wanawake,
Uzinzi-Wanaume.
hili mimi pia nakuunga mkono madame.Shoga an'gu me bwana hata sitaki kusema Uwongo.
Wanawake Tumezidi Uwongo Kwenye Simu ,japo Mimi na Wewe hatupo.
Ila kiuhalisia sisi tumezidi,
yani mdada utamkuta anaongopa mpaka wote mnageuka kumuangalia.
Ila Makundi Haya Wamegawana.
Uwongo kwenye Simu-Wanawake,
Uzinzi-Wanaume.
sina uzoefu eneo hili......acha niende
me pita tu hapa naenda kuleee!