Wanawake Vizinga

Wanawake Vizinga

Nielewe vizuri upendo sio pesa ila pesa inamchango kwenye kupendwa na kupenda.
Pia elewa,
Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake na hapo inategemea huyo mbuzi kafungwa wapi.

Bakhresa atakula vya levo yake na mimi nitakula vya levo yangu na wewe Utakula vya levo yako.

Hakuna upendo usio na sababu mzee. Hakuna mtu wa kukupenda from no where tu mzee.

Chukulia instance hii.
: mwanamke kapendwa na mtu mwenye pesa na kapuku. Wote wanamjali, wanamheshimu na kumthamini. Na mwanamke pia anawapenda wote. Ila jamaa wa pili hawezi kumhudumia mtoto kama anavyofanya jamaa wa kwanza. Nani atamchukua mtoto?
mfano wako siwezi kukupa jibu make haiwezi ikatokea ukapenda watu wawili kwa ulinganifu, lazima kuwa na sababu ya kumpenda kila mmoja ana hivyo vitu ndo vitakufanya wewe uamue kuwa na yupi
 
mfano wako siwezi kukupa jibu make haiwezi ikatokea ukapenda watu wawili kwa ulinganifu, lazima kuwa na sababu ya kumpenda kila mmoja ana hivyo vitu ndo vitakufanya wewe uamue kuwa na yupi
Ok endelea kutafuta mtu atakae kupenda bila sababu. Na endelea kutafuta mwanamke asiyependa pesa.
 
Mbona wapo poa tu. Itakua wewe ndio michosho
Wao ndo michosho mkuu labda kama hujakutana nao sema labda kama ni utani tuu unafanyika humu ndani ila sio upendano...most of them they are after money na haimaanishi kama mimi siwezi kuwapa pesa ila tatizo kitu cha kwanza wao ni pesa namimi sitaki kudinyana tuu nataka maisha
 
ha
Ok endelea kutafuta mtu atakae kupenda bila sababu. Na endelea kutafuta mwanamke asiyependa pesa.
ya mkuu wewe endelea kuwapenda wanaopenda pesa utakuja pata majibu pia akitokea pedeshee zaidi yako
 
Siku hizi bila pesa hakuna mapenzi ndugu mwamke gani anapenda kulala njaa wanatafuata penye udongo Wa rutuba
 
ha

ya mkuu wewe endelea kuwapenda wanaopenda pesa utakuja pata majibu pia akitokea pedeshee zaidi yako
Haka kamchezo hakahitaji hasira....nipo tayri kuchangia thread yako nyingine maana kwa mawazo haya utaanzisha nyiingi .
 
Mwache kulalamika nyie jamaa.
Hivi nani atakupenda pasipo hata na senti? Kuanzisha familia hatuangaliii sura ya mtu na moyo wa mtu tu. Sababu kama hali ya uchumi wa mtu ni muhimu.

Nani anapenda kulala njaa, au wanawe washindwe kusoma kisa eti anaupendo wa Dhati? Hakuna upendo usio na sababu. Binafsi siwezi kutengeneza mahusiano ya ndoa kwa mwanamke ambaye atanilalia. Hili lipo wazi labda muendelee kujipa mioyo tu.
Njoo unywe maziwa kwa ajili ya afya yako umeongea vyema.....
 
Tisa kumi mapenzi sio pesa ila ikikosekana ndo mwanzo wa kukosa amani ndani ya nyumba tutakula mawe
 
Wao ndo michosho mkuu labda kama hujakutana nao sema labda kama ni utani tuu unafanyika humu ndani ila sio upendano...most of them they are after money na haimaanishi kama mimi siwezi kuwapa pesa ila tatizo kitu cha kwanza wao ni pesa namimi sitaki kudinyana tuu nataka maisha

Mie napingana na wewe kwa nguvu zote. Mwanamke akishakuona haueleweki na wewe kweli hueleweki lazima aangalie namna ya kukwepa, sasa hapo kwenye kukwepwa ndio utaona wanazingua, kumbe mwenzako anajiweka kando na wewe. Mimi nimeisha kua na wanawake wanne humu JF wanajielewa sana, kuanzia kiakili, kimaisha, hata kitabia.. Ila kuna mambo kwangu yalikua shida that why nimebaki kua marafiki nao na maisha yanaenda vizuri
 
Back
Top Bottom