tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,146
- Thread starter
- #21
hayo ndio mapenzi kaka.
hata kama ni mapenzi..mi moyo ukishavunjika na kukata tamaa huwa siwezi kurudi nyuma!!
hayo ndio mapenzi kaka.
Na ujue ile hainaga shombo wala alama.............
Nan kakuambia K ina makombo??
naini hayawezi kuwa mapafu.
jipeni moyo..wanaume hatuna kawaida ya kurudi nyuma
Ni maneno tu hayo
wengi hurudi kwa magoti na vilio
trueeeeee! Ndo mpango hahahahaha!hahaha hao mie nawapenda becoz u just turn them into sex slaves and enjoy
we love who leaves us and leave who loves us....
Tena anakwambia dia...nilienda kutafuta pesa ili usiishi kwa tabu......wanaume wanadhani wanawake tu ndiyo uwa wanarudi na kubembeleza penzi la nyuma.....hawajui hata wao wanarudi nyuma tena kwa speed ya ajabu sana.......
Hivi hakuna wanaume wanaorudi kwa wapenzi wao wa zamani.....nataka kujua tu.....
Eti ndo ulete kwangu makombo?
Kumbe naniliu nayo inamakombo eeh??
aaahh bwana umeniudhi, naniliu ndio nini sasa? sema nanii......
nanii ndo nn? sema sasa
kumbe nanii nayo ina makombo eeh? SIO kumbe naniliu nayo ina makombo eeh?