Wanawake ukubalini huu ukweli mchungu

Sio kweli. Kuna wanaume wanapata stress ya kuoa sababu hawapat mwanamke anayemtaka.
Sio wote 30 wamechakaa.
 
Sio kweli. Kuna wanaume wanapata stress ya kuoa sababu hawapat mwanamke anayemtaka.
Sio wote 30 wamechakaa.
Either 30 umechakaa au hujachakaa... Kilichopo kwenye ubongo wa mwanaume ni kwamba ushatumika sana, na wengi wenu ukifka umri uo ni ngumu kukataa na uko tayari kugegedwa ili atleast upate mtoto, sasa hapo labda upate mwanaume ambaye anae ongeza mke au aliye talakiana au na yeye ana watoto tayari
 
DATA zako ni za mitaani weka link kusupporp Mada yako
kuna baadhi tu ya Nchi tena ndogondogo ndizo wanawake wanawazidi wanaume kila wanaume 102 kuna wanawake 100
The sex ratio for the entire world population is 102 males to 100 females (2017est.). Depending upon which definition is used, between 0.1% and 1.7% of live births are intersex.
soma hiyo LIVE mpaka wanaokufa kwa sekunde hapa Duniani
tambua wanaume wanaongezeka hata kwa sekunde
mpaka sasa sekunde hii
3,877,592,188
Current male population (50.4%)
3,809,822,492
Current female population (49.6%)
30,062,687
Births this year
193,151
Births today
11,757,085
Deaths this year
Boofya hapa World population 2019 | Population clock live
 
Do your research well.
Kama mwanamke ni wa shule sana unakuta anafika 30 ndio ana miaka miwili kazini. Na mwingine ana plans zake kabla ya kuingia kny ndoa.
Halafu wengine wana prefer partnership kuliko commitment kubwa ya ndoa.
 
Kumbe wanaume ni wengi kuliko wanawake [emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…