Naona hata kuoa ni bahat. Wanaume wasingekua wanatafuta wake mpaka humuSaiv mwanamke kuolewa ni bahati kubwa na amshukuru Mungu
Waache kukutaa ovyo! Watakufa na utamu waoKwahiyo ambao hawajaolewa wafanyeje?
Kwa hiyo unatushauri kila anaye kuja kauli iwe "Nimekubali"mwanamke kujitafakari kabla ya kumkataa mwanaume
sawa[emoji861]Huu Uzi wakiupitia wanapata hasira Sana.
Lakini all in all wivu tu na ubinafsi ndio unawaongoza.
Kama mwanaume anaweza kuwahudumia wote, shida iko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa umkubali mtu hata kama humpendi. Kuliko kuolewa na kuachika baada ya miezi 6 bora kuto olewa tuWaache kukutaa ovyo! Watakufa na utamu wao
kuna wengine hata huyo mmoja hawana ila full madharau[emoji849][emoji849][emoji849]Kwa hiyo unatushauri kila anaye kuja kauli iwe "Nimekubali"
Nyani hauni nanii yakeNaona hata kuoa ni bahat. Wanaume wasingekua wanatafuta wake mpaka humu
sawa[emoji41][emoji41][emoji41]Saiv mwanamke kuolewa ni bahati kubwa na amshukuru Mungu
Pull to start.. utaelewa tu.Kwahiyo ambao hawajaolewa wafanyeje?
Kama ndoa ni lazima mbona kuna talaka.
Ukimaanisha?
Kubali au kataa mwanaume ata akisema wiki ijayo ntaoa, mrad amedhamiria anaoa kweli... Lakini mwanamke kuolewa sio maamuzi yako mwenyewe na huwez lazimisha kuolewa! Kwanza mwanamke akifika 30 tayari amechakaa,Naona hata kuoa ni bahat. Wanaume wasingekua wanatafuta wake mpaka humu