Wanawake, Ubaridi huu hauna madhara kweli?

hips.com

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
344
0
Tusaidiane wandugu. Kwa watumiaji wa pads za HQ.kuna kaubaridi flani Mimi binafsi huwa nakafili alafu kanakuwa kama kaubaridi ka pipi kifua na kuna wanawake niliwahi kuwauliza kuhusu hiyo hali wakaniambia nao huwa wanakafili.sasa swali jeee hako kaubaridi hakana madhara kwenye papuchi?
 

Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,140
2,000
Mh!!
Sijui kwa nini mie ni muoga kuufanyia majaribio mwili wangu.
Hizo HP nazisikia tu ila sijawahi kuzitumia. Ngoja wenye ufahamu waje nami nijifunze hapa ila kwa ushauri tu wanawake tuache kujaribu kila pads zinazoingia sokoni.
Yale maeneo ni nyeti na very sensitive.
Si kila kiingiacho mjini ni dhahabu!!
 

Howt Lady

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
1,483
1,500
Hmm me naogopa sana kuvitumia nabaki kuvickia tu maana papuchi sio ya kuifanyia majaribio kabisa
 

hips.com

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
344
0
Maskini papuchi yangu :confused::confused:Kale kaubaridi sasa.? Ni nzuri kwa kuwa haijikunji kwa nyuma kama zile nyingine na ni pana ikisaidiwa na mabawa sasa pale kati hata ukiivua unakafili ka ubaridi hata ukishika papuchi utadhani uliiweka kwenye friza ndo umeitoa
 

Howt Lady

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
1,483
1,500
Maskini papuchi yangu :confused::confused:Kale kaubaridi sasa.? Ni nzuri kwa kuwa haijikunji kwa nyuma kama zile nyingine na ni pana ikisaidiwa na mabawa sasa pale kati hata ukiivua unakafili ka ubaridi hata ukishika papuchi utadhani uliiweka kwenye friza ndo umeitoa

me hapana aisee papuchi yangu siwezi kuifanya majaribio ya pads za kila toleo jipya Najua kutakua na madhara tu

Asili ya uke iwe na joto sasa mambo ya kufoji huku chini pawe baridi kama mfu alolazwa mochwari hapana aisee
 

ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,674
2,000
Duh!! mwiteni mama terry ,
hapa wanaume hatuna cha kuchangia zaidi ya kujikumbushia hydrocarbons hydro.JPG
 

Leomimi

JF-Expert Member
May 20, 2013
2,548
1,750
Kale kaubaridi ni kwa ajili ya kuvuta uchafu kama upo ukeni ni material yake na kwa kazi kama hiyo na ukitaka ku proof ukivaa mbili au tatu mwisho zinazoendelae hazitoi ubaridi tena maana yake zilizotangulia zimeshasafisha.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom