Wanawake tuu!!!!!!

Wanawake tuu!!!!!!

SamJet

Senior Member
Joined
Jul 22, 2009
Posts
162
Reaction score
13
Ni ajabu kwasababu heading ya post hii imesema ni wanawake tu ndo wanatakiwa wasome hii lakini WE UNAESOMA NI MWANAUME.....,
 
U can't limit someone to browse,idiot
 
Kiswahili ni lugha yetu, unaposema wanawake tuu unamaanisha nini?
Ungesema 'kwa wanawake tu' ungeeleweka. Kama ni somo umefeli
 
dah....kazi kweli kweli...Je wanawake wanaiosoma hii thread vipi maelezeo yako hapo juu....yatakuwa valid?
 
Back
Top Bottom