Wanawake tutambue thamani yetu

Maungo gani yanayo onekana?
Mwanamke ni papuchi na maziwa ndiyo hayapaswi kuonekana.

Lkn mapaja, sijui tumbo hvyo ni vitu vya kawaida sana.
Tatizo African tunaendekeza Ngono sana, na pengine hatujazoea, lkn km mtu umeishi Nchi za kibepari, huwezi andika uzi km huu.
Ushasema nchi za kibepari ila hapa ni Tanzania kila nchi inamaadili yake Na tamaduni zetu pia sio heshima uko nchi za wenzetu hizo nitamaduni zao ndio maana unaweza kuta binti kavaa nusu uchi kabisa kakaa Na baba yake je hapa inawezekana
 
Sawa mdogo wangu hivyo usije kushangaa pale mtu mwingine atakapokuja na kuona ulivyoviandika havina maana.

Ila nakutafutia zawadi aisee mana leo umenifurahisha sana maana katika maisha yetu haya kukumbushana ni jambo la muhimu.
asante dada kwakujali wazo langu
 
Safi sana wanawake kama wewe ni wachache sana, acha kina miss chaga maana jana nimeona anawapotosha wenzake sijui watumie kondomu, sijui waombe pesa..
Miss chaga mzoeee ujue unaweza kuta anaongea yeye havitendi ila ambao hawajielewi wanayafanyia kazi
 
Maungo gani yanayo onekana?
Mwanamke ni papuchi na maziwa ndiyo hayapaswi kuonekana.

Lkn mapaja, sijui tumbo hvyo ni vitu vya kawaida sana.
Tatizo African tunaendekeza Ngono sana, na pengine hatujazoea, lkn km mtu umeishi Nchi za kibepari, huwezi andika uzi km huu.

Vitu vya kawaida kwako si kwa kila mtu hata wewe unaweza kumshangaa nguruwe kujibingirisha kwenye matope lakini yeye akawa anaona vitu vya kawaida
 
Sawa mdogo wangu hivyo usije kushangaa pale mtu mwingine atakapokuja na kuona ulivyoviandika havina maana.

Ila nakutafutia zawadi aisee mana leo umenifurahisha sana maana katika maisha yetu haya kukumbushana ni jambo la muhimu.
tatizo EASY GO wamekuwa wengi hivyo hata wanaume hawana haja ya kumwaga lugha
 
Ila hapo kwenye kumpa ugumu ugumu mwanaume personally sipapendi, mm demu akinikataa Mara moja ndo kwaheri, half mademu wanaokuaga wagumu mwanzoni, Mara nyingi hawanaga mapenz ya kweli, speaking from my experience
Sure. Unaweza mzungusha mtu kumbe ndio unapeperusha ndege. Kama hutaki ni NO sio Nipe muda nifikirie. Hiyo ni zilipendwa
 
Mwanaume unamfanyia yote hayo na Bado anakupa donda ndugu, hizi mambo hazina formula aisee saiv ni kujiangalia wewe furaha yako,
kuhusu picha mwanaume kumtumia picha ya uchi ni kujidhalilisha,

bandiko zuri lkn wengi wameshakata tamaa
 
Back
Top Bottom