KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,759
- 86,411
Turogeni tupate hela ndo mtudange sio unaenda kuroga tu niwe wako then hako kasalio kadogo nilikonako unataka ukafyonze kaishe then nichalale
Sasa niroge niwe wako kisha niroge tena kipato changu kiongezeke hapo sasa nidange ila kwa staha sasa sio unakomba hadi mfupa! Hata chemchem huchimbwa zaidi ili itoe maji mengi sasa wewe ulichokuta ndo hichohicho tu na unataka ukikombe arooo
#Wanaume wote mbinguni.