Wanawake tupo wa aina tofauti

Kuna hawa ambao kila sherehe wapo utafikiri walizaliwa tumbo moja na mji mzima.
Yaani hawachagui mradi waurambe tu na akiona haitoshi anaenda kukodisha viatu vya jimmy Choo kwa weekend ili ajionyeshe tu yuko kwenye chat
Nywele za bandia zimejaa kwenye kabati mpaka unasema akiyafunga kwenye ubao anaweza kufagia uwanja

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Sounds like coming from experience 😂
 
Ukweli wenye nyanya chungu ndani yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…