Hapo ulichoelezea ni aina ya wanawake.
1. Mwanamke Tajiri
2. Mwanamke Masikini.
Kama kuna jambo vijana wanakosea ni kuoa vimwanamke Masikini.
Mwanamke Kwao masikini. Yeye masikini. Akili masikini. Kiroho masikini. Kwa nini asiwe na tamaa ya vitu vizuri.
Ushauri wangu kwa vijana. Kama unataka ukoo wako uwe wakueleweka Usioe masikini.
Mwanamke tajiri utamjua tu the way anavyofikiria. Anatamani vitu endelevu kama nyumba, miradi ya kueleweka, Anajua bajeti. Lakini hawa Mafukara huwekeza kwenye vitu vya muda mfupi tena vya gharama. Kama vile Vi~hand bag, Mawigi na weaving ya laki nne wakati laki nne unaweza fungua biashara ndogo inayoweza kukuingizia kwa siku elfu tano mpaka kumi.
Never date poor woman