Ukibarikiwa kuishi mpaka uzeeni utakua mgeni wa nani ?Mimi Niko hapo juu ....ila nataka ninunue gari tu nyumba nitapanga ....habari ya Mimi nakomaa kujenga kwa mbinde halafu nakufa watu wanaanza kushindania nyumba ya marehemu hapana kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzee wa wapi mamy hahahahahahaha sisi wa 90+ hakuna kufika uzeeniUkibarikiwa kuishi mpaka uzeeni utakua mgeni wa nani ?
Dah nimekumbuka songi la From Time la Drake kuna mistari anasemaKuna wanao waza kujenga nyumba nzuri na kuendesha gari zuri.
Hawa hata wawe na laki tano benki, ukimwambia shost Sinza Mori kuna nyama Choma nzuri mno, atasema hana hela. Akishanunua kiwanja atakumbuka ile nyama choma ya Sinza atakwenda kula kujipongeza. Huyu mara nyingi hawazi pesa ya mwanaume.
Kuna wale wapenda vitu vizuri.
Handbags zote za majina anazijua na yuko radhi anunue Michael Kors handbag iliyoletwa kazini leo kabla hata hajalipa kodi.
Hawa mara nyingi huwa nguo kabati tatu lakini hawajawahi kumiliki nyumba.
Dah, sasa ukutane na sisi wanaume ambao hatulali bila kuchunwa.Kuna wengine hatulali bila kumchuna mwanaume
Yaani usingizi unakua hauji kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada. Endeleeni kuosha K maana ndio card zenu za benki. Nyie huwa wasafi sana gharama kubwa huitumia kutengeneza mvuto na kwenye mta ange hamtegei mna kipaji cha kugegedana
Dah, sasa ukutane na sisi wanaume ambao hatulali bila kuchunwa.
hiyo aina ya kwanza ndilo chaguo languKuna wanao waza kujenga nyumba nzuri na kuendesha gari zuri.
Hawa hata wawe na laki tano benki, ukimwambia shost Sinza Mori kuna nyama Choma nzuri mno, atasema hana hela. Akishanunua kiwanja atakumbuka ile nyama choma ya Sinza atakwenda kula kujipongeza. Huyu mara nyingi hawazi pesa ya mwanaume.
Kuna wale wapenda vitu vizuri.
Handbags zote za majina anazijua na yuko radhi anunue Michael Kors handbag iliyoletwa kazini leo kabla hata hajalipa kodi.
Hawa mara nyingi huwa nguo kabati tatu lakini hawajawahi kumiliki nyumba.
Kwani gari hawatashindania shostMimi Niko hapo juu ....ila nataka ninunue gari tu nyumba nitapanga ....habari ya Mimi nakomaa kujenga kwa mbinde halafu nakufa watu wanaanza kushindania nyumba ya marehemu hapana kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeeh hilo rahisi mno kuliuza halafu naweza kuhama nalo kwenda popote
Ukumbuke kulikatia bima, tena full comprehend.Eeeeh hilo rahisi mno kuliuza halafu naweza kuhama nalo kwenda popote
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mtu kiungwana anakusaidia kwa njaa zako wewe unaona umemchuna? Mimi ndio sababu nawaheshimu sana wanawake wanaojiuza hawana unafki kuliko nyinyi kina Mwajuma nchokonowe, siuzi wala sitoi bure.Kuna wengine hatulali bila kumchuna mwanaume
Yaani usingizi unakua hauji kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina viatu hata vingine sijawai vaa.na vingine nimelipia advance madukani huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba zao na wajomba zao na babu zao washajengaSky Eclat inabidi uwe unawashauri hao wanaopenda kuvaa sana kuliko kujenga nyumba za kuishi, watawapa shida watoto wao
[emoji713]ⓐⓘⓢⓗⓐ ŋi ķųćĥaģuå
Mkorintho wa 6
Jamani ninajishughulisha sana mkuu.sitegemei mwanaumeNaona kazi yako ya kudanga inakulipa.
Kwaiyo unaona ni sawa tutoe bure?Yani mtu kiungwana anakusaidia kwa njaa zako wewe unaona umemchuna? Mimi ndio sababu nawaheshimu sana wanawake wanaojiuza hawana unafki kuliko nyinyi kina Mwajuma nchokonowe, siuzi wala sitoi bure.
Yani mtu kiungwana anakusaidia kwa njaa zako wewe unaona umemchuna? Mimi ndio sababu nawaheshimu sana wanawake wanaojiuza hawana unafki kuliko nyinyi kina Mwajuma nchokonowe, siuzi wala sitoi bure.