Hawa maranyingi majibu ya Form Four A yalikuwa Div IV au 0 na wanakuwaga warembo sana.Kuna ambao wanawaza kudanga muda wote hawa ukiwaaambia wakafanye kaz ata kwa kiboko hawaend
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanyeni kazi hamna mafanikio ya shortkat
Shwain kabisaaa[emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimegundua kuwa ukiwa na mpangilio Michel Kors handbag itakuja kama pongezi ya kumaliza kupaua nyumba.
Sky Eclat inabidi uwe unawashauri hao wanaopenda kuvaa sana kuliko kujenga nyumba za kuishi, watawapa shida watoto waoKuna wanao waza kujenga nyumba nzuri na kuendesha gari zuri.
Hawa hata wawe na laki tano benki, ukimwambia shost Sinza Mori kuna nyama Choma nzuri mno, atasema hana hela. Akishanunua kiwanja atakumbuka ile nyama choma ya Sinza atakwenda kula kujipongeza. Huyu mara nyingi hawazi pesa ya mwanaume.
Kuna wale wapenda vitu vizuri.
Handbags zote za majina anazijua na yuko radhi anunue Michael Kors handbag iliyoletwa kazini leo kabla hata hajalipa kodi.
Hawa mara nyingi huwa nguo kabati tatu lakini hawajawahi kumiliki nyumba.
Hahahhh hapana mateMate uko hapo?
Nina viatu hata vingine sijawai vaa.na vingine nimelipia advance madukani hukoHahahhh hapana mate
Mie mpenda maendeleo pa kuuhifadhi mwili wangu jua mvua ukungu usiku mchana nina kibanda
Handbags kila siku design mpya
Hongera mwayaNina viatu hata vingine sijawai vaa.na vingine nimelipia advance madukani huko
Sent using Jamii Forums mobile app