mti wa ajabu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 449
- 368
Unaujulia wapiHuu mwandiko ni kama naujua hivi.
Unaujulia wapiHuu mwandiko ni kama naujua hivi.
Ukubaliwe bure? Ukimsumbua mdada ukute na wewe sio mkono wa birika mwisho wa siku utampata tu, wengine ni gear tu, ahakikishe kala vyako kwa Sana kwanza huku akufikiria. Wewe msumbue sumbue mdada halafu ukipigwa kibuti watoa nje! Faster utiwa kufuli na vizuizi kibaoBaada ya kufanya utafiti wangu nimekumbana na kaluli hii " Alinisumbua saana kwa siku nyingi ... nikaamua nimkubali". Je ni kweli unaweza kumkubali mwanaume kisa eti amekusumbua sana?
Tafadhali akina dada fungukeni hapa kama kweli tukiwa wasumbufu tutafanikiwa.