Wanawake tuongeze kujiheshimu...

Pick me syndrome.... Wordsworth nimetokea kukuelewa sana sasa hivi
Acha tu wanawake kama hawa tunasubiri kizazi chao kiishe maana hata tukisema tuwaelimishe mpaka Harvard hawawezi kubadilika . Ila ndo tulivyolelewa kwamba mwanamke lazma afanye kila anachoweza kumridhisha mwanaume ili aonekane bora kuliko wanawake wengine. At what cost? For what price?
Mtsyuuuu embu asinichefue huyu naye.
 

Yaani huu ukweli mtupu. Yaani ukishamgegeda mwanamke unaanza kumuona wakawaida msako wa mrembo mpya unaanza.
 
Kizazi kipya, kizazi cha Mwinyi awamu ya pili na Ben hawawezi kuelewa nini umeandika, watasema "TUSIPANGIANE"! Ilà ushahuri wako kwa intellectuals lazima aokote moja-mawili.
 
Ahahah ata kwangu?

The Most Winner
 
Tatizo uaminifu, unamuamini mtu alafu mwisho wa siku anakuja anakuacha. Cha msingi mabinti ni kuwa makini na msimamo thabiti basi.

The Most Winner
 
Wanawake siku hizi tunajirahisi sana kwa kupenda mteremko. Lakini wengine wanasema onyesha hisia zako mapema km wampenda. Na wengne mzungushe zungushe kwanza. Na wote wanaweza wakafanikiwa tu. Haya mambo bhn hata hayatabiriki. Vyvyte unaweza ukafanya na yakatiki au kubomoka. Cha msingi ni kumuomba Mungu tu atubariki na kutuokoa kwenye changamoto.

The Most Winner
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…