Wanawake tunapenda hivi...

Kama kipimo cha kuwa broke ni kuwa hapa basi sote ni broke. Maana nawe upo hapa.
Hivi mtu kuwa broke maana yake ni kushindwa kumpa mwanamke pesa?
Utajua mwenyewe.
Sitaki kujibizana na wewe.
Umeletwa na nini hapa kama wewe sio Broke.
 

Matapeli
 
Kila changamoto ya mwanamke lazima alaumiwe mwanamke except her period tu. Uchepuke wewe kw utashi wako then useme mwanaume hayuko vizuri kitandani🤣🤣🤣
Kama humkuni vizuri je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…