Sasa mamito, kwani Preta alisema hivyo vigezo vinawahusu mabinti malekchara wa taasisi za elimu ya juu?? Ye kasema festi deti na mvaa sketi yoyote, awe banker, mhasibu, karani, baamedi, changudoa, kondakta, mwalimu, fundi cherehani, mama ntilie, JF geloz kama wewe etc etc.....Hhahahaha mkuu umenifurahisha eti kama boxer...anyways kwa mtindo huo basi hata hao wanawake hawana vigezo wao ilimradi liende..Upo! Hii mada inapaswa kulenga pande zote mbili sio mwanaume ana vigezo aishie kutakwa na wanawake kama kinyume cha mada yenyewe..meaning badala ya mwanaume heading iwe mwanamke..teh teh teh.
Sasa mamito, kwani Preta alisema hivyo vigezo vinawahusu mabinti malekchara wa taasisi za elimu ya juu?? Ye kasema festi deti na mvaa sketi yoyote, awe banker, mhasibu, karani, baamedi, changudoa, kondakta, mwalimu, fundi cherehani, mama ntilie, JF geloz kama wewe etc etc.....
"Bunduki bila risasi yaua namna gani"Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate...
Assume hyo first date imepangwa usiku...matokeo yake
Sina gari ila nilitoka kazn nikarudi hme nikabrush shoez then nikapanda bajaj nikatangulia eneo la tukio stil ntakuwa smart
Nimevaa shart imefubaa but tuko kwenye mwanga wa taa inang'aa kama mpya...
Nimebeba wallet ila inakaratasi kibao afu elfu hamsin nimeitia kwenye mfuko wa sharti nazuga natoa wallet wakati wa bill then narudisha afu nasema daaah kumbe napesa nyingne mfuko wa shaarti......
Itakula kwako Preta
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sasa wale waliopata zero mwaka huu sijui kama watakuja kuoa..
too much maelekezo these days...utasema mtihani wa necta...
kila siku mafunzo mapya...lol
Mbona mie sina sifa na vigezo ulivovitaja laniki nawabadilisha kama boxer?
Sasa wale waliopata zero mwaka huu sijui kama watakuja kuoa..
too much maelekezo these days...utasema mtihani wa necta...
kila siku mafunzo mapya...lol
-Uelewa wa mambo kutokana na maongezi
-uwezo wa kunisikiliza
-they way anavyoji-carry
-taking care kama kurefill my glass
-showing interest in the things l do
Etc
"Bunduki bila risasi yaua namna gani"
sasa iki kinausianaje na kilicho ulizwa apo juu!! Make ujajibu swali unakurupuka tuu think mara mbili then jibuswali. Katika gr8 thinker kaka haupo.
Dear,honey,dalingi miiiingi mwanzoni... ujue wizi mtupu..
Gia ya nataka kuoa siku ya kwanza tu na mwingine kwenye sms hapo hamna kitu.
Kujidai eti dutch treaty au unategea nilipe bili..this is bad indicator.
dah kweli we nouma mpaka mfano wa mdomo unavyo kaa unajua aise
dah kweli we nouma mpaka mfano wa mdomo unavyo kaa unajua aise
"Bunduki bila risasi yaua namna gani"
Sio wote.....bali wengi wetu.....(nami nikiwemo).....huwa tunaangalia mambo haya........siku ya kwanza kukutana....(au kutoka).....
1.Kwanza tunatazama tembea yako, kisela au kiheshima ili tujue kama una kazi au la.
2.Kama nguo zako zimefubaa, unatembea juani, kama hazijanyooshwa basi hata pasi kwako huna.
3.Kama viatu vina vumbi moja kwa moja gari huna.
4.Kama pesa hutoi kwenye waleti hujazoea kuwa na pesa tena yawezekana hata laki hujawahi kushika.
5.Kama hunukii vizuri basi wanawake huwajui vizuri, na hujui romance, hata hug hujawahi kupewa.
6.Kama hutunzi nywele zako hata zake hutazigharamia.
7.Ukiongea nami muda mrefu na maswali mengi, hata kama hujanitongoza, najua umenipenda.
8. Ukinishika au kunigusa popote kwenye maongezi basi unanitaka kimwili.
9.Kama mkanda wa suruali na viatu havimachi rangi, hujawa na mwanamke kwa muda mrefu.
10. Usiponitazama machoni, yawezekana muongo au hujiamini na unaniogopa.
habari ndio hiyo........