Wanawake tuna maneno

ha haaha unaogopwa kusema tatizo ni wewe unataka kujua kama wanakusema au lah? me sidhani kama nasemwaga sababu huwa siyasikii
 
Hamna ushost mbaya kama huo, wanawake bwanaaa sie wenyewe kwa wenyewe hatupendani ni wachache saaana wenye urafiki wa kweli.
Rafiki yako wa karibu ndo muuaji wako wa siri, kwa ninayoyaona kwa wenzangu ushost upite tu mbali na mie
Kweli sijui nani katulogaaaaa jmn khaaaaa... Wanawake hata maofisini ni shidaaa kn ofisi moja nlifanya kazi ndo nilijua rangi zote za wanawake.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ na hapo kuwa na marafiki wa kiume unazungumzia urafiki gani maana na sisi hatutaki friendzone, urafiki wa mgegedo sawa πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Ukiwa na rafiki maana imekulzimu weka akiba ya maneno siku mtakuja gombana,yaani usimwambie kila kitu,mkigombana ataelezea siri zako!
 
Hamna ushost mbaya kama huo, wanawake bwanaaa sie wenyewe kwa wenyewe hatupendani ni wachache saaana wenye urafiki wa kweli.
Rafiki yako wa karibu ndo muuaji wako wa siri, kwa ninayoyaona kwa wenzangu ushost upite tu mbali na mie
Mumy hata mie siutaki hata kuusikia ni bora mara mia kama una mume / mpenzi akawa ndio rafiki yako anaweza akakufichia siri zako lakini sio mwanamke.

Ila Sijuagi kwa nini tuko hivi?
 
Kweli sijui nani katulogaaaaa jmn khaaaaa... Wanawake hata maofisini ni shidaaa kn ofisi moja nlifanya kazi ndo nilijua rangi zote za wanawake.
We acha tuu, ni changamotoooo
 
Mumy hata mie siutaki hata kuusikia ni bora mara mia kama una mume / mpenzi akawa ndio rafiki yako anaweza akakufichia siri zako lakini sio mwanamke.

Ila Sijuagi kwa nini tuko hivi?
Ndo hivyo, sie sio kabisaa na sijui ni kwa nini tumekuwa hivyo jamani
 
Shosti mie sina shoga wa kike yule ambae naweza kumweleza yangu ya rohoni ila dada zangu na wadogo zangu tulio zaliwa wote na pia sio yote ntasema,rafiki zangu wengi ni Man,na nimefaidika sana na urafiki wao nimetumia mawazo yao sana na nimefanya mengi,mfano mwanamme anaweza kuona kiwanja kinauzwa akakwambia na akakupigania mpaka upate,nenda kwa mwanamke mwenzio anakwenda kwa kwenye kiwanja akuongezee bei au apate cha juu,yani mie apana kwanza staki mwanamke anizowe wala nimzowee.........
 
Hmmmm!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…