Wanawake tumieni maji badala ya tishu

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,703
Reaction score
39,174
Mikoba yenu imejaa matishu, chooni tishu, kula tishu ,haja ndogo tishu

Cha kwanza tukimaliza hamwedi kuipiga maji bafuni, unajifuta tu na litishu

Utamaduni wa kutumia tishu kujiswafi hasa Kwa mademu unaleta shida sana

Ukijifanya kuleta utundu kidogo japo kulamba majadi, unakutana na uozo na fangasi

Tishu haiwezi kucheza namba ya maji
 

Ww ni mwanamke?
 
Mnakutana na vitu vya ajabu sana. Poleni aisee
 
Kumbe ww nae n mwanamke, nachoka 😎
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…